Apple released the developer edition
of their latest creation, which is MAC
OS X Lion Mountain and it has many
more features coming soon, but
what if your one of the people like
me who dont...
nahitaji software ya kufungua mafile yenye extension ya .zip kwa simu yangu ya android gingerbread kwani imekuja bila hyo software. Na pia ningesaidiwa wwebsite ambayo ningedownload software...
Salaam wana JF!
Naomba msaada wenu. Jana Jioni nilikuwa na compile taarifa zangu za kazi ktk template fulani iliyo ktk Microsoft Office Excel (9.89MG). Baada ya kumaliza kuandaa kazi yangu...
nimekua najiuliza mengi kuhusu huu mtandao wetu wa kijamii..maana huu mtandao una maadui wengi kuanzia serikali hata pia baadhi ya watu binafsi wenye pesa zao chafu katika nchi hii..swali ni kua...
Heri ya sikukuu wadau...nilipenda sana thread ya bwana yoso hapo awali alietaka kujua which is the best os kwa simu za mkononi..na nilipendezwa sana na majibu ya wachangiaji..na ikanipelekea...
Stop Slow Streaming Video
Slow streaming video can but a damper on your internet video viewing experience. If you are using service like youtube.com or Veoh.com. You are more than likely are...
Wakuu.
Natafuta oscilloscope ya kununua; iwe analogue au digital, PC au standalone. Tafadhali mwenye nayo naomba anijulishe. Analogue bandwidth iwe kuanzia 10MHz na kuendelea juu, iwe ya...
flash yangu 2GB imenigomea kabisa na ina vitu muhimu sana na navihitaji... uki-insert kwenye CPU inasoma vizuri na files unaziona tatizo siwezi kuzifungua kuzisoma, nikitaka ku-save kazi kutoka...
Samahani wadau ila naomba mnisaidie,eti wapi naweza nikapata hizi movie kwani ukienda torrents unaweza ukalia unakuta muvi 14gb na nyingine hadi 52gb...
One of the ways by which a virus can infect your PC is through USB/Pen drives. Common viruses such as etc are spreading through USB drives. Most anti virus programs are unable to detect them and...
Hello everyone,
I would like to tell you about free web hosting service I use now.
Register here
They give 1500 MB of disk space and 100 GB data transfer. I am now using them for about 3 months...
wataalamu naomba mnisaidie,nina kenwood ambayo ni ya bass tu,na inatoa line moja sijui mnaitaje.shida yng hasa nataka iwe inatoa stereo.niliwahi kupeleka kwa fundi akaniambia anaweza...