Kuhusu mobile phone

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
3,716
2,207
Vpi kuhusu radi na simu za Viganjani? Hakuna effect je tunaweza kutumia kipindi cha mvua pasipo kuzima?
 
Pata Connection hii:

Simu---»BTS---»BSC---»MSC

----». =Transmition links

Kwhyo transmition links zinakua affected na mvua na radi hua zinapiga hizo minara ya simu(BTS)
 
Uelewa wangu uko mbali kidogo,sorry kwa hiyo hakuna negative impact hata kuwe na radi ruksa kuongea na kua nayo karibu bila kuswitch off natanguliza shukran zangu za dhati
 
Me kuna ndugu yangu tumemzika juzi tu pale dodoma alipigwa na radi akiwa anatumia sim ya mkononi..mkipinga kuwa hakuna uhusiano basi kifo chake kitakuwa kuna mkono wa mtu maana haiwezekani
 
Me kuna ndugu yangu tumemzika juzi tu pale dodoma alipigwa na radi akiwa anatumia sim ya mkononi..mkipinga kuwa hakuna uhusiano basi kifo chake kitakuwa kuna mkono wa mtu maana haiwezekani

wanafunzi wawili UDOM bila shaka source ni mobile
 
Back
Top Bottom