Ttcl broadband | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ttcl broadband

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by wajifya, Apr 16, 2012.

 1. w

  wajifya Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MSAADA KUNA ANAYE WEZA KUCHAKACHUA TTCL BB MODERM,IWEZE KUSURF INTERNET BURE AU KAMA KUNA ALIYE NA PROXY ZINAZO KUBALI KWENYE TTCL BB ?NAOMBA ANISAIDIE :help:
   
 2. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Mbona Watanzania mnapenda sana kuchakachua vitu? Pesa mnazo lakini mnaendeleza kuiba. Mngekuwa mnatumia elimu yenu hiyo kubuni software mpya na kuziuza, mngefika mbali! THINK POSITIVE!
   
 3. w

  wajifya Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we mzambia nn?
   
 4. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  We dwanzi kweli broadband haichhakachuliki hata ufanyeje labda mtafute bill gates atakusaidia
   
 5. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Piga namba 100
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  tafuta uzi wa zantel free internet utakusaidia..
   
 7. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Are you sure of what ur saying?
   
 8. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Kua makini mheshimiwa wasijekukuchakachua na wewe.
   
 9. Mwongozo wa Spika.

  Mwongozo wa Spika. Member

  #9
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vipi mkuu, wewe ni mgeni mitaa hii?
   
 10. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  BIG UP man!!! wakenya wamlitumia wakaja na MPESA hapa mtu akisomea IT tu 1st thing HACKING is this what you learn in school? disgusting!!!!!!!!!!!!!1
   
 11. e

  ebr New Member

  #11
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dude,mimi nishawahi kujaribu maswala hii na nilifanikiwa vizuri kabisa,lakini kuna faida yake na kuna hasara yake,amini usiamini nimefaidi more thani 5 years wih speed ya kufa mtu 8mb/sec,it happends like this,when i (------) ttcl nilifaidi sana so niliona kama nimchezo mzuri,but sasa hivi hawako kama zamani wanamitambo ambayo inaweza kukujua haponapapo unatumia a/c ya mtu mwingine.na wakikujua tu mjomba kazi unayo.

  so it's an advice to you achananayo kabisa utaijuta sana :smile-big:
   
Loading...