Msaada; VODACOM PUK

Msaada; VODACOM PUK

Amoeba

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2009
Posts
3,288
Reaction score
793
Wakuu, wakat nafanya kazi kkwenye simu yangu, kuna mtu ameingiza wrong pin 3 times ikablock, sasa inadai PUK, nawezaje kupata PUK? Kikadi nilishakipoteza! Kuna njia ya kutuma meseji kwenda namba flani lakini mimi nilishasahau, anayefahamu tafadhali tufahamishane!
 
andika PUK namba yako afu send to 123 mf. PUK 0755000000 to 123
 
Back
Top Bottom