Msaada wenu tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wenu tafadhali

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by DA HUSTLA, Apr 18, 2012.

 1. DA HUSTLA

  DA HUSTLA JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 429
  Likes Received: 405
  Trophy Points: 80
  Jamani wadau naomba mnijuze kuhusu haya mambo mawili tafadhali,1.hivi nini maana ya proxy na nini matumizi yake.2.nina modem yangu ya vodafone nimei unlock tangu mwaka jana na ninatumia airtel chip,sasa hivi yapata wiki 2 nilikua na tatizo la kushindwa kuconnect(unable to connect),sasa hivi ina connect vizuri ila website zote inakubali isipokua facebook,kila nikitaka kuingia facebook naishia kupata home page tu nashindwa ku log-in yaani speed inakua ndogo balaa inakua inaendelea tu ku load endlessly,naomba msaada wenu.
   
Loading...