IDEOS u8150 Vs nokia N97 ipi ni kali kuliko nyngne ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IDEOS u8150 Vs nokia N97 ipi ni kali kuliko nyngne ?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Abloodi, Mar 23, 2012.

 1. Abloodi

  Abloodi Senior Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ..xor jaman nahtaj msaada fasta...
  nataka kununua smu kat ya hyo IDEOS au N97 naomba msaada wenu ipi n nouma zaid kulko nyngne na y ?
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,784
  Likes Received: 7,103
  Trophy Points: 280
  kwa kupitia website mbali mbali za kulinganisha simu n97 iliscore 56% na ideos 44% na factor zilikua kama ifuatavyo
  zote zilikua anounced september 2009

  camera
  Camera ya n97 ni 5mp (2592x1944) na camera ya hio ideos ni 3mp (2048x1536) hapa n97 alionekana kashinda

  speed (processor)
  Speed ya ideos ni 528 mhz na ya n97 ni 434 mhz hapa mshindi ni ideos

  mda wa kuongea
  Ukiwa na ideos unaweza ongea masaa 4 ndo simu iishe charge ukiwa na nokia 97 utaongea masaa 7 ndo simu ishe charge, same standby time ideos ni masaa 220 wakati n97 ni masaa 320 n97 ameshinda

  video na camera ya mbele
  Kama unapenda camera ya mbele na video calling ideos haikufai maana haina nokia n97 inayo pia n97 ina vga cable (kuangalizia kwenye video)

  ram
  Ram ya ideos ni kubwa ni mara 2 ya n97, ideos 256 na n97 128, hapa ideos mshindi

  network speed
  Kwa gprs na edge n97 ni class 32 wakati ideos ni class 10 n97 yupo juu, ila kwa 3g hdspa ya ideos ni 7.2 mbps wakati n97 ni 3.2 so ideos nae yupo juu

  ramani na gps hapa hata hamna haja ya kulinganisha nokia wapo juu (nokia yupo juu kwa simu zote kwa ramani)

  keyboard ideos ni touchscree na n97 ni touch na ina qwerty keyboard n97 yupo juu

  memory
  Internal memory n97 ina 8gb wakati ideos ina 200mb so n97 yupo juu

  pixel
  screen ya n97 ni kubwa na ina resolution ya 360x640 pixels wakati ideos ni ndogo ina resolution ya 240x320

  colors kama kawaida yao nokia hawakosei kwenye designing na colors n97 ina rangi 16.8 million wakati ideos ina rangi 262.1 thousand hii inamaanisha kama unaangalia video au image itaonekana clear kwenye n97 kuliko ideos

  Pia designing n97 ina alternative nyingi za cover kuliko ideos (kava za nokia mpya rangi na chuma vinayeyushwa pamoja no scratch)

  Picha ya n97
  [​IMG]

  Picha ya ideos
  [​IMG]
   
 3. Abloodi

  Abloodi Senior Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,784
  Likes Received: 7,103
  Trophy Points: 280
  mnh hapo pagumu kaka ujue n97 ni slide myself sipend slide zinakufa mikanda wabongo tuna mishe mishe nyingi kama mtunzaji ichukue n97 kama sio chukua ideos
   
 5. Abloodi

  Abloodi Senior Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Chief ,lets say other thngs remain constant, ki tech zaid ipi nouma ?
   
 6. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huawei amelenga soko la chini katika kiwango cha wanunuaji wa kati ndio maana simu zake anajaribu kuzipimp ili atleast hata wale wenzangu na mimi tusifiche simu tukiwaona wale wenzetu wenye high end phones kama sony ericson,HTC...
   
 7. Abloodi

  Abloodi Senior Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  xo nichukue ipi ideos o N97 ?
   
 8. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Bei ya hiyo Nokia ni at least mara mbili ya hiyo Ideos au sio?
  Hiyo Nokia inaishinda Ideos karibia kwa kila kitu kasoro Operating System na upatikanaji wa Apps na User Interface.
   
 9. Abloodi

  Abloodi Senior Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  xo bro ideos ni kali kwa apps, mmh ?
   
 10. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Ideos inatumia Android OS 2.2 Android ina the second biggest amount of Apps katika OS za simu nyuma ya iOS(iPhone) na kwa rate za sasa itaipita iOS August mwaka huu, na nzuri zaidi kwa upande wa mteja Apps nyingi ni bure/Ad supported.
  So ukiwa na Ideos utaweza kuinstall most apps zilizo hapa https://market.android.com/, most kwasababu Ideos ni budget device haina nguvu ya kusukuma baadhi ya hizo Apps hasa 3D games plus sio Apps zote zinatengenezwa ziwe compatible na kila version ya Android/screen size etc.
   
 11. M

  Mchakatoh JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni Tsh.ngapi hyo N97
   
 12. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #12
  Mar 23, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,784
  Likes Received: 7,103
  Trophy Points: 280
  Dah kaka una hamu nayo sana chukua ideos kama simu iliyopita uliyoimiliki ni nokia ili ubadilishe ladha,
   
 13. Abloodi

  Abloodi Senior Member

  #13
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Thanx xo much ,niona nichukue ideos japo nimegoogle many user wanadai betr n tatzo,naomba uschoke nk kuPM maswal coz ndo 1st tym na2mia android
   
 14. Abloodi

  Abloodi Senior Member

  #14
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  thanx ! nachukua ideos,ila mungu akujalie uwe hacks za kutosha ili na sis weny ideos 2endelee kufaid.. maana hapa na2mia moja ya hack zako za fr vod internt
   
 15. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #15
  Mar 23, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,784
  Likes Received: 7,103
  Trophy Points: 280
  Ipo post ya android
   
 16. Mabwepande

  Mabwepande JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Acha kuishushia heshima NOKIA, uwezi kuilinganisha na huo Uchafu.
   
 17. c

  chilubi JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,037
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Nokia yupo juu kwa simu zote katika ramani? Kuliko google maps from iphone? From android powered devices? Like mototola n samsung? I dont think so, OVI MAPS vs GOOGLE MAPS, everyone knows the winner!
   
 18. c

  chilubi JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,037
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Simu nyengine za ajabu, mtakuja kuingia mkenge bure, ni bora nokia tu!
   
 19. utakuja

  utakuja JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 818
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 80
  N97 no Nokia takataka NA ideos pia ina issues ndio zote nshatumia hadi The best Nokia N8 azinaraha...na hiyo ideos nimatatizo matupu nakupa ukweli hapa ninayo nimeupgrade to 2.3.7 na 4 beta and alpha ..not all apps will work zile nzuri zinakua unavailable sema unaeza uzidownload na kuinstall through sdcard , battery life 5hrs with 3g on au ukiwampenda YouTube hata mawili , camera mbaya, kama ukotayari kuface matatizo chagua ideos au nakushauri HTC au Samsung
   
 20. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Vp mkuu kuhusu Nokia E61i na Samsung S5830i ipi ni nzuri zaidi ya nyingine maana kuna mtu anasema tubadilishane maana hawezi kutumia screen touch mimi nimpe Nokia E61i.
   
Loading...