Msaada wanajf dell 610 inagoma kuwaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wanajf dell 610 inagoma kuwaka

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by prakatatumba, Apr 11, 2012.

 1. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Naomba msaada nilikuwa naadnika report nikaizima laptop kwa kupress power button moja kwa moja sasa hv nikiwasha inaniandikia disk failure press control + alt + delete ila nikipress inaniletea hivyo hivyo, natanguliza shukran zangu za dhati
   
 2. A

  Aura reader Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hard disc inaweza kuwa imekufa tayari hivyo kuhitaji iwe formatted kisha kila kitu kiwe installed upya! Je huajiangusha Mkuu...
   
 3. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Huyo ni mdudu jaribu kuwasha comp yako huku ukibonyeza F8 pindi itakapoonyesha BIOS nikiwa na maana komputa unapowasha inaanza kuandika DELL halafu chini yake inakupa option za F9 na kadhalika. Hapo ndipo unatakiwa uwahi na kubonyeza F8Then choose safe modeHalafu ikikubali kuwaka kwa maandishi makubwaNenda Start-Accesories-system tools-system restore- Then choose restore point ambayo ni tarehe kabla ya matatizo hayo.Then comp itajirestore na kuwa kama kawaida.AlternativeIkikataa fanya kuboot na CD ya windows halafu nenda repair for both windows XP/Vista/7Windows 7/vista repair utaenda kwenye windows recovery tools na kuchagua startup repair ili ifanye repair automatikali.AlternativeIkishindikana na hiyo.Basi boot tena computer yako na cd ya windows halafu kwenye partion ya windows usiformat kama unavitu vyako vya muhimu ww ingiza windows kwenye same partition iliyokua na windows halafu ile windows ya Zamani itatengeneza folder ambalo linaitwa windows Old na litakuwa na files zako zote zilizokuwa kwenye drive C yako kama Desktop,Docs etcFull stop, If u dont mind Format.Give me feedback.
   
 4. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  poa kaka ngoja nitarudi
   
 5. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ebana eeehh
   
 6. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  imekubali mkuu thanks
   
Loading...