Gazeti JAMHURI lina makala gani kuhusu mfumo wa Digitali leo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti JAMHURI lina makala gani kuhusu mfumo wa Digitali leo?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Rutunga M, Apr 17, 2012.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  kuna jamaa yangu mmoja anatoa huduma ya cable mkoani,anasema amesoma gazeti la leo juu ya mfumo wa digitali kwamba ataendelea kula bata,sijui hii makala inasemaje? nipo mkoani,naomba waliopitia hili gazeti waseme ni kuhusu nini,kwani halina web hili gazeti
   
 2. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Lisome utoe maelezo ya kutosha tuchangie,hueleweki unataka kujua nini.
   
 3. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  hujanielewa!
  mimi sipo dar hilo gazeti linachelewa kufika nilipo,nauliza waliofanikiwa kulisoma
   
 4. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Jamhuri one.jpg Jamhuri two.jpg Jamhuri three.jpg
  Hilo hapo JF is everything mzee
   
 5. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
Loading...