virus kwenye flash vs Winrar

virus kwenye flash vs Winrar

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
9,071
Reaction score
9,674
wadau kwenye flash yangu kuna virus ambao wameficha baadhi ya files. files zote za mp3 zimefichwa. nikiifunga flash kwa kutumia winrar files zinaonekana lakini nikizi-drag kwenye desktop hazionekani. nilijaribu mara ya kwanza kuzidrag sikuziona lakini nilijaribu mara ya pili napata ujumbe kuwa tayari files zinaexist labda kama nataka kuzi-replace hii ikanijulisha kuwa zipo lakini hazionekani. lakini zinaplay kama kawaida. je naweza kufanyaje kuzisave kwenye compyuta?
 
Back
Top Bottom