Nina shida ya kutengeneza list ya mashule na maeneo yalipo mfano:
Maua Seminary
KILIMANJARO
MANOW LUTHERAN JUNIOR SEMINARY
MBEYA
Nimeipata hiyo detail kutoka necta lakini najua kuna...
Wana jamvi nimecheza hii game hadi nimefika sehemu ambayo nahitaji kuvuta crank, instruction inanitaka kuhold R1 na L3 ili kuivuta hiyo crank, sasa ishu ni kufungua huo mlango ambapo unafunguka...
FULL MAUJANJA NJIA
ZA KUEPEKA USUMBUFU
WA SIMU JARIBU SASA Kama hutaki usumbufu
pia unaweza ku forward
simu zote na ukapata sms
pindi mtu akikupigia
*21#0754125125#ok hii
ni kwa voda. Kwa zantel...
kwenye computer yangu nimeweka Adobe CS4 colection. ADOBE PREMEERE inafunga unapotaka kuimport file inakataa na kutoa ujumbe(CODEC MISSING OR UNAVAILABLE)nimejaribu kuweka CODEC mbali mbali...
Wataalam naombeni kama kuna anaeweza kunielekeza namna ya kuunganisha internet kwenye tablet manually.
Nilishajaribu ile ya kutuma text mara kadhaa nikajibiwa kuwa device yangu haisapoti...
Habari wakuu,
Ninaomba kufahamu faida za ubuntu dhidi Windows zetu; nasikia iko more secured na vingine vingi, naomba kupata ukweli juu ya hili kutoka kwenu wanazuoni.
nimekua nikiangalia movies wakuu zinazohusu mambo ya intelejensia na mapigano. kuna kitu hua kinanishangaza leo naomba kujuzwa. inakuaje pale mtu anapigwa risasi ikiwa amevaa bullet proof but...
Hello wadau, leo napenda kuitambulisha kwenu "knowcache" ni blog ya kwanza serious na very professional kwa ajili ya kupromote mambo ya IT hapa Bongo.
Unaweza kuitembelea hiyo blog kwa address ya...
Versus: Samsung Galaxy S3 vs Samsung Galaxy S IIBy: Stuff Staff
The Galaxy S3 has gone up in screen size to a perfect 4.8in, while maintaining a relatively small body at 133g and 8.6mm thin. The...
wakuu, napenda kununua digital camera ila sijui zipi ni bora zaidi kutokana na kuwepo aina nyingi sokoni.Tafadhari naomba msaada wa kimawazo
(Ni kwa ajili ya matumizi ya nyumbani)
Wadau naombeni msaada wenu mnijuze website ambayo nitapata softwera za nokia n900 maana ovi yao haina kitu;nahitaji softwera kama whatap na social network nyngne
Nawasilisha
Jamani wandugu mimi compyuta yangu inatumia hard disc ya sata huwa kuna wakati ina waka hard disk zinaonekana lakini ukicheki propartzake inaleta 0 ukizima ina fanya check disck inakuwa fresh...
Wanajf naomba msaada wa fundi ambaye anaweza kubadilisha settings za bb ili nipate internet bila kutumia package ya mwezi ya airtel. Yaani niweze kupata internet km ilivyo kwa simu zingine.