Saved by internet

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Last night baada ya kurudi nyumbani niliamua kuandaa ubwaba fast kwa kutumia microwave oven(cooking time less than 10 min kikombe kimoja). Bahati mbaya fuse iliungua kila nilipoli switch on. Nili google "microwave oven frequent fuse blow out" Hapo hapo nilipata jibu chanzo kikuu kuungua fuse ni interlocking swicth za mlango ambazo jukumu lake ni kumkinga mtumiaji na miyonzi ya microwave iwapo mlango haujafungika vizuri. Switch hizi ni tatu na ya kati itwayo monitor au short switch ndio "suspect" namba moja. Kweli baada ya kufungua cover niligundua switch hii imejam. Niliishitua kidogo ikawa ina click, na kweli tatizo la short likaisha kabisa na mapishi ya ubwaba yakaendelea. Internet kiboko men. Sijui tuliishije zamani bila uvumbuzi huu muhimu.
 
Tuliishi vizuri sana kwa kuwa vitu ulivyovitaja hapo havikuwepo.
 
Back
Top Bottom