Msaada plz

Msaada plz

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
573
Reaction score
140
Hali zenu wanaJf

naomba kusaidwa kitu, kuna mtu kafungua account ya fb kwa jina langu na friend wake m1 ni mtu wa karibu sana kwangu. mimi sipo fb ila kuna watu wananambia kuwa kuna mtu anatumia jina langu. pia nina wasiwasi anaweza kuniharibia. je ni jinsi gani naweza kuhack ile account?ama kuifunga
 
ok a bit offtopic🙂 OYAAAAAAAAAAAAAAAaaaaaa mazeee wako wapi?wataalamu vipi?tangu 12th may mbaka leo hamuonekani?
 
mbona rahisi sana, fungua fb tembelea wall ya huyo mjafanja user mwenye jina kama lako utaona sehem imeandikwa REPORT THIS USER check option zake na ufate steps utablock ww, au fungua fb find e mail aliyo2mia jamaa ksign up fb then ikope pemben halaf kama hujui vile na ww sign up fb by using the same e mail fb watakwambia e mail ime2mika xo COMMAND itamuacha yeye itakusoma wewe xo jamaa akiingia itakataa coz hamfanani password, am sor unajua DOS COMMAND?
 
Back
Top Bottom