msaada jinsi ya kupata kifurusha kili cha startimes | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada jinsi ya kupata kifurusha kili cha startimes

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Wizzo, May 19, 2012.

 1. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  jamani kwa anaejua jinsi ya kupata pakeji ya kili startimes anisaidie.nimeshanunua salio la 18000
   
 2. m

  mhondo JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  piga *150*63# fuata maelekezo mengine. Ni kama vile unavyotumia tigo pesa au m pesa yaani unachagua huduma unayotaka.
   
Loading...