Jinsi ya kutumia internet ya simu ya Nokia 2700 classic kwenye Pc using USB cable.


Tangopori

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Messages
1,635
Likes
329
Points
180
Tangopori

Tangopori

JF-Expert Member
Joined May 11, 2012
1,635 329 180
Naombeni mnisaidie nawezaje kuinstall program ya kuniwezesha kuacces internet ya simu ya nokia 2700 classic kwenye Pc kwa kutumia USB. kila nikiconnect wananiambia install the program for nokia 2700 classic. Je nitaipataje hii program? Na ntaitumiaje?
 
Mkare_wenu

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Messages
1,708
Likes
90
Points
145
Mkare_wenu

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2011
1,708 90 145
download Nokia Pc Suit,Install then chomeka cable ya simu.kuconnect ni easy coz unafuata maelekezo tu ya application(next next za kutosha)
 
Mupirocin

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
1,626
Likes
68
Points
145
Mupirocin

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
1,626 68 145
Fanya hivyo utainjoy mimi nilifundishwa hapahapa jf tangu mwakajana naenjoy tu mtandao
 

Forum statistics

Threads 1,274,988
Members 490,865
Posts 30,529,728