Msaada Dadavuzi mpakato yangu inazimika ghafla kila mara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Dadavuzi mpakato yangu inazimika ghafla kila mara

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ngongo, May 18, 2012.

 1. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Wadau Dadavuzi mpakato yangu inazimika ghafla kila nikiiwasha.Kuna kipindi inaweza kuchukua hata saa nzima bila kuzimika lakini ikianza kila baada ya dakika kumi mpaka kumi na tano inazimika.

  Msaada tafadhali kabla mafundi hawajanichakachua vijisent vyangu.
   
 2. mgeni3

  mgeni3 JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  battery kama iko poa, itakuwa inapiga shot smwhre kaka... Sasa kujua ni wapi ndio kazi yenyewe
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mgeni3,

  Ndiyo kusema mafundi lazima watafune vijisenti vyangu ?.


   
 4. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Niliwahi kupata shida kama hiyo na toshiba yangu - tatizo lilikuwa ni power cable na kile kiadapter. Baada ya kununua mpya mambo yakawa poa. Jaribu kuicharge fully ikiwa off, halafu uchomoe kabisa charger. Kama hupati tena shida nunua charger nyingine.
   
 5. P

  Paul S.S Verified User

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Kuna mambo mengi yanaweza kusababisha hali hiyo
  The most common thing ni overheat, PC inapokuwa inapata moto sana huwa inatabia ya kujizima yenyewe na hii hutokana na fan kushindwa kufanya kazi yake vizuri kutokana na kujaa uchafu wa vumbi na kuziba vipenyeo vya hewa kuweza kupita vizuri

  Kuhakiki kama tatizo ni hilo mara nyingi ukiiwasha unaitumia fresh kwa muda na ikipata sana moto ndio inaanza kujizima, hata ukiigusa unaweza kuuffel umoto umezidi

  Kama tatizo ni hilo basi unatakiwa kufungua fan na kuisafisha
  Just google, na youtube jinsi ya kufungua na kusafisha fan ya kipakatio chako
   
 6. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Du! mkuu unakiswahili kigumu! Mi Hapo kwenye nyekundu umeniacha!
  sijakuelewa ni kitu gani unakiongelea?
   
Loading...