teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
hapo mwanzo nilikuwa natumia huduma ya boom club airtel sasa tatizo limejitokeza jana baada ya zile siku saba kwisha nikaweka hela ili nimwunganishe mtu yule ninaetaka kumpigia lkn kila nikijaribu inanilatea msg sorry you need to be added to the boom club nimewapigia airtel wakasema nimekwishaondolewa kwenye huduma hiyo na nipo kijijini sama nifanyeje, labda kuna njia nyingine nisaidieni tafadhali.