Nini matumizi ya AUTHORITY CERTIFICATES kwenye simu za NOKIA...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini matumizi ya AUTHORITY CERTIFICATES kwenye simu za NOKIA...?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mbushuu, May 11, 2012.

 1. Mbushuu

  Mbushuu JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 992
  Likes Received: 1,029
  Trophy Points: 180
  Habari wadau,kwenye simu nyingi za nokia ukiingia kwenye SETTING haswa upande wa SECURITY utakutana na vitu vimeandkwa AUTHORITY CERTIFICATE so naomba kujulishwa matumizi ya izi authority certificate,OVER!
   
 2. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  du mi sijui
   
 3. IamError_D

  IamError_D JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 424
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  hiyo inasaidia kudownload applications mbalimbali ambazo zipo certificate na simu yako ili isiweze kuleta madhara ndani simu kama vile baadhi ya applications zina virus........ mie naufahamu mdogo ngoja wataalamu wengine waje watujuze....
   
 4. O

  One Man Army JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  maana yake ni haifai kwa matumizi ya binadamu..
   
 5. H

  Hkeen Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unamaanisha nini bro? Tuweke wazi unacho maanisha.
   
 6. rickymj

  rickymj Senior Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  yeah @ dezzle zile zk kama kibali flan yan zina kuauthorize downloads ulzochukua mtandaoni hivyo endapo ukizifuta kuna applications haziwezi run in ur mobile 4n.
   
Loading...