steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 11,630
- 13,925
modem yangu ni vodafone K-3565-Z,niliiflash na wakaniwekea software ya 'ZTE-join air' nikawa natumia line ya airtel kama kawa kwa muda mrefu tu,sasa hivi ingawa nina bundle ya mb400 lakini inanigomea kuconnect kwa wiki nzima sasa,inaniambia connect failed,yaana napata shida sana kuaccess net kwenye kompyuta,naombeni msaada wenu wa kitechnic wa kutatua tatizo hili