wadau nakwama, sometimes naagiziwa katika kusolve baadhi ya matatizo ya kimtandao naambiwa nicheki na tools za kwenye Fire fox, sasa nashindwa kujua nazipata wapi hiiyo option ya tools, msaada plz
Wadau kwenye ile icon ya volume pale chi kwenye icons nyingi nyigi, imewekewa ki "x" hvi, niki pint inaniambia,"The Audio Service is not running" naweza solve vipi hili tatizo wakuu?????????
Kwenye facebook page yangu, nilihama toka classic kwenda timeline page. Sasa hii timeline mimi sijaipenda, natamani nirudi huko nyuma, je nafanyeje?? naombeni msaada hapa wataalamu.
My laptop installed with two operating systems: Windows 7 home basic and Ubuntu Linux 11.04 fails to restart.
I tried to do the error check and get this message:
the file or directory...
Kama kuna mtu anafahamu maujanja ya kulog in multilple accounts(mfano nina account mbili za yahoo au mbili za facebook na ninataka kuzifungua zote kwa pamoja bila kulog out mojawapo) asaidie...
ninasimu yangu aina ya iphone 4 alikuwa akitumia dada yangu alipokuwa anasoma huko nje ya nchi lakini baada ya kufika hapa Tanazania akiweka line inakataa inasema no simcard nifanyeje jamani ili...
Website ya Mpango wa taifa wa kudhitbiti UKIMWI imekuwa hacked by the unknown hacker, na kupelekea watumiaji wa mtandao huo kushindwa kupata taarifa mbali mbali.
Mtandao huo umekuwa ukitumiwa na...
Wakuu, hii simu imenishinda kabisa kuunganisha na internet; natumia line ya voda, nimeingiza settings kama ifuatavyo lakini chali;
Profile(account) name: voda tz
Proxy sever...
Heshima kwenu wanaTECH wa JF,jamani modem yng inanizingua sana,ni universal,ilikuwa inawork vzuri tu ila kwa sasa mmmh sarakasi sana,network inaonekana na nimeirecharge but nikiconnect...
Wakuu habari za mida,naombeni kusaidiwa nini maana ya Wi Fi na inafanya kazi gani ktk simu plogram hiyo ninayo katika simu yangu ya Samsung Gallaxy 5830i ila sijajua matumizi yake.
Habari zenu wana JF
jioni hii rafiki yangu kanunua tv yenye mgongo,sasa kutokana na serekali kubadili mfumo nadhani hizi tv hazitakiwi tena ila sina uhakika..wana jf naombeni kama kuna mtu...
unapenda kutumia homepage zaidi ya moja ktk Firefox? kama ndiohii ni trick utaweza kuiset Facebook, Google and YouTube as your homepages tumia maujanja haya kuiset Firefox to set multiple...
Niaje?
Dell Optiplex GX620 Ukiiwasha inawaka lakini inaonyesha rangi ya Orange huku hikifatiwa na beep inayo piga mara 3 na kwenye Screen haionyehi kitu chochote. Nilipo ifungua nikagundua...
Heshima kwenu wanaTECH wa JF,jamani modem yng inanizingua sana,ni universal,ilikuwa inawork vzuri tu ila kwa sasa mmmh sarakasi sana,network inaonekana na nimeirecharge but nikiconnect...
vp hali zenu wadau?nimeinstall vmware ver 8 ktk windows 7 home premium kwa ajili ya kuimpliment concept za mcitp lakin tatizo nililokutana nalo ni workstation nyingne nikiziping from other machine...