paulss mkuu sasa hapo inakuwaje ...kwa sababau mimi nataka kutumia huduma ya bb kwenye laptop kwaKama mdau alivyoelekeza hapo juu lakini hii haitakufanya uweze kutumia huduma za bb ulizojiunga.
Itabidi uweke credit zingine ambazo ndio zitatumika kama modem
paulss mkuu fafanua kwa nini huwezi kutumia huduma za bb ulizojiunga kwenye pc unapounga simu kama modemKama mdau alivyoelekeza hapo juu lakini hii haitakufanya uweze kutumia huduma za bb ulizojiunga.
Itabidi uweke credit zingine ambazo ndio zitatumika kama modem
utakuja ....hivi inawezekana kupata huduma ya standard day ktk simu ya blackberry curve mkuunimetumia Blackberry curve yangu pia na torch na nareport kuwa kwa mitandao ya tigo na vodacom utakatwa credit ata kama una BIS yao ya elfu 20,000/30000 ...maana BIS inapply kwenye BB services tu ndio inakua unlimited lakini kama modem nakushauri weka bundle nyingine kama standard day au Cheka
internet
Inabidi kwenye pc yako u download software ya Black Berry desktop, ukisha download hiyo ifunguwe, fata maelekezo iko simpo kabisa kuitumia.
Unaweza i download hapa: BlackBerry - Desktop Software for PC
toeni msaada huu ni mhimu plse
Bila shida izo bundle zinakubali maana kuna wakati nilikua natumia Opera mini,Ubersocial,Blackberry app world bila BIS lakini kwa bundle sema apps nyingine azita fanya kazi..utakuja ....hivi inawezekana kupata huduma ya standard day ktk simu ya blackberry curve mkuu
Bila shida izo bundle zinakubali maana kuna wakati nilikua natumia Opera mini,Ubersocial,Blackberry app world bila BIS lakini kwa bundle sema apps nyingine azita fanya kazi..