Je inawezekana kutumia memory card kichwani?

Je inawezekana kutumia memory card kichwani?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Wadau nlikua naomba tudiscuss hili suala hv kwel inawezekana kuweka memory card kichwani na kuanza ku fungua mafail NA JE UKIFUNGUA KIRUSI ITAKUWAJE
 
Umekosea njia, Hii peleka jukwaa la jokes!
 
Ukifungua virus ubongo unakuwa slow ku-respond mfano:ukiitwa musa utaitika baada ya dakika 46.
 
Wadau nlikua naomba tudiscuss hili suala hv kwel inawezekana kuweka memory card kichwani na kuanza ku fungua mafail NA JE UKIFUNGUA KIRUSI ITAKUWAJE

Aliyetoa memory card yako kichwani mwambie akurudishie alf Uiscan itakuwa na virus.
 
hivii mmekosa cha kajadili mnakaa kuongelea kitu cha kipuuzi kabisa...!!!!!11
 
The stupidity u are showing is amazing!!!
 
Back
Top Bottom