Msaada jamani namna ya ku-unlock modem

kholo

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
413
75
Heshima mbele sana wanajamvi, naombeni msaada namna ya ku-unlock hizi modem mpya za airtel, modem yangu ni Model ya E173u-1. Nimejifanya mgumu wa kuto hama lakin sasa maji yameshazidi unga. Please naomba hata mwenye anafahamu unlock code anitupie jamani. Ahsanten
 
hizi huwawei mpya mkuu ni noma. hazikubali hata temporary unlock. if you go for a new modem, go for zte modem. you will enjoy

Vodacom e173 is the best in tanzania kwa sasa inachakachulika rahisi, zte haina maana. Hiyo ya voda e173 ni 7.2 mbps kama airtel.
 
Vodacom e173 is the best in tanzania kwa sasa inachakachulika rahisi, zte haina maana. Hiyo ya voda e173 ni 7.2 mbps kama airtel.

Mkuu kuna watu wabishi humu jamvini sijapata kuona!!
Heri wewe umeprove kuwa Voda sasa wana kitu E-173


GONGA NYUNDO WaELEWE MKUU.
 
Back
Top Bottom