jamvi la Jf naombeni kufahamishwa juu hii kitu ya kudevop zinazoitwa android je ni za zinafanyika vp? ziko kama java na C+ au zenyewe kitu tofauti kabisa?
Hellow gents+ladies!!
Leo napost hii ki2 kusaidia nokia s40 userz ku2mia handler apps(eg.opera,ucbrowser,gmail etc) for free internet husasan kwa mtandao wa kaz ni kwako!
1.unapaswa uwe na...
habr wana jf?
Samahan wakuu naomba na mm kupata haya maujanja.
Je nawezaje kufungua account yangu ya facebook ambayo watu watalike
kwa mfano mzur ni account ya fid q or dj choka nk...
Nashindwa kuelewa malengo ya huu mkopo wa salio wa sh 180 pengine mie ndie sijui faida ninayoweza kuipata,lakini mimi binafsi naona kama nina shida kubwa sidhani kama watakuwa wamenisaidia, mfano...
Wanajf, kuna ndugu yangu alichkua ipod classic yangu na kuiformat, baada ya kufanya hvyo miziki na videos vyote vimepotea, kwa sasa naitumia kama flash, nikitaka kuweka miziki ili iweze kuplay...
TIgo once again is on the forefront on innovation and making it easier for its customers to get access to its services. There will be teams sent out by Tigo in Dar, Morogoro, Dodoma, Mwanza...
leo asubuhi niliomba msaada hapa jf, jinsi ya kufanya installation ya system recovery media window 7 starter, na nikafuata ushauri wa mchangiaji wa mwisho hapo chini,...............baada ya...
Did you ever wonder how hot the sun is? On a sunny day, if the temperature rises more than 95 degrees Fahrenheit (35 degrees Celsius) we start feeling hot and we are at a distance of 149 million...
Naombeni msaada wenu wataalamu wa JF. Laptop yangu ya Toshiba yenye Windows XP Proffesional ina program 3 kwa ajili ya ku-play back DVD. Hata hivyo zote zina matatizo kama ifuatavyo:
1.Window...
habari guys... Nataka kuconnect internet kwenye lapt through my nokia c7..its is incompatible with my phone instead inataka niinstall ovi suite ilu niconnect internet... Plz guys aliyeidownload au...