Ushauri nilopewa humu, umeniharibia kila k2 kwenye pc yangu

wiseboy

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,931
3,299
leo asubuhi niliomba msaada hapa jf, jinsi ya kufanya installation ya system recovery media window 7 starter, na nikafuata ushauri wa mchangiaji wa mwisho hapo chini,...............baada ya kuzicopy contents kwenye flash nikarun set up, e bwanaee baada ya kumaliza program zote, folder zote, na files zote havionekani, yani pc nyeupeeee, nimejaribu kuclick option za restore bila mafanikio.................jamani nawezaje pata foldes, programes na file zangu za mwanzo................nimehaha


msaada kwenye installation
respect great thnkers....jaman my pc ni mini laptop samsung, haina port ya cd, hvyo nimejarb kukopi kwenye flash, lakin inagoma kuinstal...sasa nauliza ni nn cha kufungua ktk list ya folders zinazoonekana, si mnajua cd ni rahis ukiweka tu inaanza ku instal, plz msaada.​






Yesterday 20:02
#2
Junior Member Array


Join Date : 20th June 2012
Posts : 6
Rep Power : 306
Likes Received1
Likes Given0



[h=2]
icon1.png
Re: msaada kwenye installation[/h]
Funguka vizuri usomeke unataka kufanya installation ya nini?​






progress.gif
Reply Reply With Quote


user-online.png
wiseboy


Yesterday 20:15
#3
Senior Member Array


Join Date : 21st March 2011
Posts : 231
Rep Power : 416
Likes Received30
Likes Given15



[h=2]
icon1.png
[/h]

quote_icon.png
By jailbreaker
Funguka vizuri usomeke unataka kufanya installation ya nini?



sawa mkuu ni software ya system recovery media windows 7 starter for small notebook PCs (EM)​





progress.gif
Edit Post Reply Reply With Quote


user-offline.png
sijui nini


Yesterday 20:21
#4
JF Senior Expert Member Array


Join Date : 29th September 2010
Location : home
Posts : 1,355
Rep Power : 895
Likes Received359
Likes Given360



[h=2]
icon1.png
Re: msaada kwenye installation[/h]
ina bid uset i boot from usb ..jaribu kupitia hapa: https://www.google.co.tz/search?aq=1...+usb+windows+7




All right everyone, line up alphabetically according to your height.​
:A S-confused1:

 
Lengo kubwa ni kwamba pc yangu ilikuwa haibadilki background, hata ukiapply wallpaper hairespond, hivyo nilidhani kufanya recovery installation itasaidia,,,,mh ndo nimeua
 
angalia properties,right click juu ya my computer icon then properties,angalia kama imeandika window is activated,kama sivyo itakuwa si genuine.
 
Windows 7 starter haina uwezo wa kubadili wallpaper, tukirudi kwenye uharibifu uliofanya inategemea ulifanya nini hasa wakati unafanya hiyo repair, kama ulichagua kuformat basi unatakuwa umepoteza kila kitu, kama haukuchagua kuformat basi labda folder zako zimebadilika structure tu.

Angalia space iliyobaki kwenye PC inalingana na ile ya awali? Kama inalingana nenda kwenye search (Windows key + F) kisha andika jina la file lolote lako la zamani, pia angalia kwenye C drive/Users kama kuna folder ya user wa zamani.

Kama ulifanya format basi labda unaweza kuokoa baadhi ya vitu kwa kutumia file recovery software ila chance ni ndogo, tafuta humu kuna thread niliziorodhesha.
 
Kama uliformat bila kudelete partition windows huwa inafanya backup ya mafile yako. Angalia kwenye local disk (C) kama kuna folder limeandikwa windows.old hilo huwa lina contain data zako.
 
mh! we acha kabisa mimi nina hiyo window 7 starter ni kimeo. hapa niko na mkakati wa kurecover system maana mafile yote ya .lnk na .exe yamekuwa vlc. nikafuata ushauri fulani wa kwenye net nikatemper na window explorer ndo nimeharibu mno. imebidi ni anze moja sasa hivi ndo nacreate backup nifanye hiyo recovery hoping itawork. naomba Mungu.
 
duuh pole sana itakuwa umeformat. Nliwah weka thread humu ya ku upgrade from starter to zny windows 7 bila cd, wala flash, wala internet wala any program na inachukua less than dakika kumi na haitaj utaalam wowote
 
Lengo kubwa ni kwamba pc yangu ilikuwa haibadilki background, hata ukiapply wallpaper hairespond, hivyo nilidhani kufanya recovery installation itasaidia,,,,mh ndo nimeua

Mkuu hukutakiwa kupata tabu zote hizo Ulitakiwa kutumia Windows anytime Upgrade Hapo ungeweza ku upgrade windows yako from starter to Any version ambayo ungejisikia especially Ultimate ambayo ni the best.

Ni kweli umeharibu mkuu hapo huna jinsi zaidi ya kutumia recovery tool untakayopenda ili kurudisha baadhi ya files na sio zote.

Bye bye
 
Kama ulikuwa unafanya system recovery ulikuwa una any backups au restore points? Kama hukuwa na restore points most probably ilifanya recovery to the lowest recovery point (yaani ku re-intall windows) na for this option ilikubidi kwanza u-backup your files, programs nk ili uweze kuvirudisha baada ya recovery
 
asanten wakuu, nilifanikiwa kupata baadhi ya folders na files kama alivyoshauri mdau kwamba niende kwenye window key+f, it worked.
 
asanten wakuu, nilifanikiwa kupata baadhi ya folders na files kama alivyoshauri mdau kwamba niende kwenye window key+f, it worked.

...POle Mkuu. Haya, siku nyingine uwe muangalifu maana umekuja na dizaini kama ya kulaumu JF hivi kwa yaliyokupata!
 
Mkuu hukutakiwa kupata tabu zote hizo Ulitakiwa kutumia Windows anytime Upgrade Hapo ungeweza ku upgrade windows yako from starter to Any version ambayo ungejisikia especially Ultimate ambayo ni the best.

Ni kweli umeharibu mkuu hapo huna jinsi zaidi ya kutumia recovery tool untakayopenda ili kurudisha baadhi ya files na sio zote.

Bye bye

Mkuu Biohazard, Nimeipenda sana hiyo ya 'Windows anytime Upgrade'. Ikoje hii. Ningependa sana kutoka Window Vista niliyomo kwenda Window 7 Ultimate. Nafanye hapo mkuu bila kupatwa na maswahibu yaliyomkuta ndugu yetu muanzilishi wa uzi huu?
 
Mkuu hiyo kitu haifanyi kwa haifanyi kazi kwa vista ila nachoweza kukusaidia ni ushauri mzuri pia nitakuonyesha inavyofanya kazi hiyo Windows 7 anytime Upgrade

1. Kwanza upgrade windows Vista to Service pack 1 ambayo utaikuta kwenye windows updates kama hauna uhakika unaweza kucheck version yako ya windows na kuona kama tayari ipo kwenye SP1 kwa kuingia Properties za My Computer

SP1.JPG

2. Sasa tafuta CD yako ya windows 7 halafu anza installation process. NOTE.... Pliz kwenye option ya Custom installation usiende ila ingia kwenye option ya UPGRADE mkuu. Basi hapo PC inaweza kufanya calculation zake then ina upgrade.

Hii kitu haitafanya changes kwa data zako wala softwares unless kama kuna software haipo compatible na Windows 7 itakwambia then itabidi utafute ambayo ni compatible mkuu. Ila soft nyingi za Vista au drivers nyingi za vista huwa ni compatible na Windows 7.

3. Ukimaliza kuinstall hiyo windows 7 kama sio version unayotaka lets say umekweka Home premium na unataka Proffession au Ultimate au una pc ina starter kama ya jamaa hapo juu(mlalamikaji) Hope hakuformat pc yake na he is lucky, pia unaweza kutumia hii trick ya windows anytime upgrade.

> Click start button search for this key word.....anytime..... the program will come out the run it

Anytime upgrade.JPG


Then enter an ugrade key from a keygen

Anytime upgrade2.JPG

Windows anytime upgrade keygen
Anytime upgrade3.JPG


Enter the keys then click next .... follow positive instruction then UR DONE it will upgrade then it will restart.
 
Back
Top Bottom