Msaada:

Humu JF ni mwiko kuuziana hasa kwenye jukwaa letu hili la Sayansi na Teknolojia, huwa tunasaidiana tu. WanaJF ni ndugu moja. Wewe ukimsaidia leo, yeye atakusaidia kesho kwa shida utakayokuwa nayo. JF NDIYO KIMBILIO LETU, WENGI TUMESAIDIWA MAKUBWA HUMU.

okay, aende kwenye torrent atapata full software na key zake.
 
Humu JF ni mwiko kuuziana hasa kwenye jukwaa letu hili la Sayansi na Teknolojia, huwa tunasaidiana tu. WanaJF ni ndugu moja. Wewe ukimsaidia leo, yeye atakusaidia kesho kwa shida utakayokuwa nayo. JF NDIYO KIMBILIO LETU, WENGI TUMESAIDIWA MAKUBWA HUMU.
Hapo kwenye Red Upo sahii mkuu!!
Dogo wewe kamata hii link Advanced_JPEG_Compressor_2012 Download na uinstall but usi run hiyo software then kama kawaida yetu fungua crack folder ucopy then fungua my computer --> local disk C -->program files afu tafuta humo folder lililoandikwa Advance....ulifungue na kupaste humo.
computer itakwambia tayari hiyo kitu imo wewe replace it mchezo kwishney maana hapo utakuwa na full version cyo trial mkuu.
*********************Enjoy**************************
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom