Adobe Photoshop CS 8.0 Keys?

Adobe Photoshop CS 8.0 Keys?

nilikuwa nimelala nilivyo amka nikakutana na hii post I freaked out "CS8?? s**t nimelala miaka??" hahaha :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin:

mkuu, hamna cs8 na photoshop 8 ni ya enzi za kale sana tafutana na cs3,4,5 au 6
 
Na mie nilishtuka kuona ADOBE CS8!!!! Duuuhhhhhhh!!!!! Kama ni Adobe 8, huyu jamaa atakuwa amepitwa na wakati sana! Kweli, atafute CS 3, 4, 6 or 6!!!!
 
Back
Top Bottom