Wanajf, kuna ndugu yangu alichkua ipod classic yangu na kuiformat, baada ya kufanya hvyo miziki na videos vyote vimepotea, kwa sasa naitumia kama flash, nikitaka kuweka miziki ili iweze kuplay, inadai niiwekee iTune kwanza, tatizo ni kwamba sijui hyo iTune ni version gani! naomba mnisaidie tatizo hili.