Android devoloper in tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Android devoloper in tz

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mase88, Jul 18, 2012.

 1. mase88

  mase88 JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  jamvi la Jf naombeni kufahamishwa juu hii kitu ya kudevop zinazoitwa android je ni za zinafanyika vp? ziko kama java na C+ au zenyewe kitu tofauti kabisa?
   
 2. alphoncetz

  alphoncetz JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hauko mbali sana, Android ni operating system kwa ajili ya mobile devices, ingawa mpaka najibu post hii tayari android wameshatengeneza intel processor based operating system kwa ajili ya desktop computers

  Kuweza develop Android apps unatakiwa kufahamu java programming language. No shortcut on that though ziko some graphical interfaces claimed could do programing for bugginers
   
 3. mase88

  mase88 JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  nashukuru mkuu kwa mwanga wko
   
 4. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  so mkaka hyo unaweza kuitumia kweny pc kama os nyngne ? Na unaipata wapi..?
   
 5. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Hapo hapo kabla hamjaondoka wakuu je ninawezaje kutumia TTCL broadband moderm yangu kwenye Tablet yangu ya fly touch III ? Naomba msaada wenu
   
 6. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 1,803
  Trophy Points: 280
 7. alphoncetz

  alphoncetz JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Java ni programming language, sio software ambayo unatakiwa kui stall kwenye computer ili kutengeneza android apps.

  Ziko software za kutengeneza apps lakini msingi wake ni kujua java programming kwanza. Lazima uju coding ili kuweza kutengeneza any software

  Kama una nia ya kujifunza java tembelea website yangu, ninazo IT Training courses nyingi ikiwemo java, php, mysql na nyinginezo
   
 8. alphoncetz

  alphoncetz JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama device yako ina ethernet adapter (sehemu ya kuunganisha network cable) unaweza configure broadband connection kwa kutumia PPPoE settings kwenye hiyo device. Kama haina ethernet inabidi ununue wireless router broadband connection yako ipitie kwenye hiyo router halafu ndio uunganishe tablet yako wirelessly
   
Loading...