BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,222
- 4,183
Naombeni msaada wenu wataalamu wa JF. Laptop yangu ya Toshiba yenye Windows XP Proffesional ina program 3 kwa ajili ya ku-play back DVD. Hata hivyo zote zina matatizo kama ifuatavyo:
1.Window Media Player- Hii nikiweka DVD na kuminya kitufe cha Play inanipa meseji ya 'Cannot play the DVD because a compatible DVD Decorder is not installed on your Computer'. Naweza kui-down load wapi hii Compatible DVD Decorder?
2. InterActual - Hii kila ninapojaribu kuitumia inaniambia 'Playback failed due to Video subsystem. Lowering your screen resolution or color depth may fix the problem'. Nimejaribu kufanya wanavyoshauri lakini tatizo lipo pale pale. Hapa nafanyaje.
3. Kwa sasa ninatumia program ya VLC Media kucheza DVD zangu. Haina matatizo sana lakini kila ninapojaribu kui-upgrade kwenda VLC Media Player 2.0.1 ili kujaribu kupata matangazo Live ya TV ule uzi uliowekwa wa kudown load program hiyo unakatika katika. Program hiyo ian MB 21.16 lakini kuna siku nilidown load hadi MB 19.11 lakini ikakataa ku-install. Je huwezi ku-install program vipande vipande?
Natanguliza Shukurani nyingi kwa Msaada wenu.