Help plz! kutrick Visa card au Masterard kwenye software

Same ORG

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
321
21
Nina software ya kijamii ninataka kuapgred hata kama sina visacard mwenye utaalamu wa hili anisaidie tafadhali.
 
pamoja na kuwa sina utaalam wa ku trick hiyo kitu, lakini swali lako bado lina utata...limekaa general sana!!ungefafanua vizuri mkuu...
 
pamoja na kuwa sina utaalam wa ku trick hiyo kitu, lakini swali lako bado lina utata...limekaa general sana!!ungefafanua vizuri mkuu...

swali hapa ni kuapgred wanadai utoe hela humu kwenye iyo visa cad
 
swali hapa ni kuapgred wanadai utoe hela humu kwenye iyo visa cad
utoe mwnyewe au wakutolee wao (non refundable)? na ni software/website gani inayotaka hivyo...!? mi najua moja ya paypal tu kuwa unapojiunga lazima ufanye verification ya credit card yako na wanakukata ila baadaye wanakurudishia hela yako baada ya ku verify..sasa unaposema "wanadai utoe hela" maana yake si wanataka utoe mwenyewe kutoka kwenye card yako kwahiyo si uweke tu hela benki then utoe kwa card yako?? trick ya nini tena..!!? labda bado sijakuelewa..sorry for that!!
 
Weka wazi jina la software,nadhani wadau wataweza kupambanua mtandaoni cracks zake ama updated files zake na watakupa link ya kuzipata hizo updates or updated software
 
weka jina la software omba wadau wakusaidie kupata keys,
no other way out!
 
asa kama anataka keys si aseme tu shida ni keys za software flani ili asinunue online kuliko kutaka ujanja wa ku bypass malipo wakati ushachagua kulipi!!! mi sidhani kama shida yake ni keys tu..labda hiyo software haitumii keys..mwisho wa siku ni yeye kutaja hiyo software na kutoa maelezo mazuri ya nini anachokitaka sio kama hivi!!
 
Nilivo kuelewa bwana ''same org'' ni kuwa unataka kufanya malipo online kwa kutumia visa card. Unachotakiwa kufanya nenda benki yako alafu waeleze watakusaidia.
 
swali hapa ni kuapgred wanadai utoe hela humu kwenye iyo visa cad

Suppose default payment options alizokupa unayetaka kumlipa ni visacard na paypal, na labda wewe huna hizo accounts tuma email kwa huyo software vendor waambie kuwa unataka kununua software but huna visacard

Wape suggestion kuwa unaweza kutumia njia nyingine kama western union au TT (telegraphic transfer) hii hufanywa na banks kama crdb

Nina imani watakubali moja ya hizo options, then watakutumia invoice na payment details zao

Ila kama unahitaji lazima uwe na visa card fungua bank account na backlyas, wao wanazo online visa card
 
Nina software ya kijamii ninataka kuapgred hata kama sina visacard mwenye utaalamu wa hili anisaidie tafadhali.

Unaweza pia ni PM jina la hiyo software naweza kukupa cheap solution instead of pirchasing from original vendor
 
Nilivo kuelewa bwana ''same org'' ni kuwa unataka kufanya malipo online kwa kutumia visa card. Unachotakiwa kufanya nenda benki yako alafu waeleze watakusaidia.
huyu hataki kulipa, bali anataka aibe,. kuiba kwasababu anataka atoe details za kadi na pesa isitolewe kwenye account. lakini msingi wake ni yeye kupata hiyo software anayotaka kununua kwa free. mawazo yake ni kuwa anaweza kucheza na hiyo debit card yake , na kupata hiyo software bure.
ni bora atafute namna ya "ku-crack" ya software, kuliko kucheza na debit card... atafungwa
 
Back
Top Bottom