Airtel huu mkopo wenu umekaaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airtel huu mkopo wenu umekaaje?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Slave, Jul 23, 2012.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Nashindwa kuelewa malengo ya huu mkopo wa salio wa sh 180 pengine mie ndie sijui faida ninayoweza kuipata,lakini mimi binafsi naona kama nina shida kubwa sidhani kama watakuwa wamenisaidia, mfano nipo sehemu ambayo siwezi kupa voucher au tu kwa muda huo sina pesa nami nahitaji kuongea na watu ambao najua hawana kabisa salio,au na hitaji nikope afu ninunue kifurushi katika modem yangu.
   
 2. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Hata mimi siwaelewi bora voda wametupa uhuru wa kuchagua 200,500 au 1000.
   
 3. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  wanakupa ya ku beep!!
   
 4. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kibipio tu chezea wahindi wewe !
   
 5. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nimecheka sana......
   
 6. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  yaan voda wapo poa sana.lakini airtel pppptuuuuu!
   
 7. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  kuliko mimi? Nimeimeji hicho kibipio.nimecheka mpaka.
   
Loading...