Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
*102*250 ongea bila kikomo msg bila kikomo internet bila kikomo nashusha siku za wikendi saa tano hadi saa moja unatakiwa uwe na 250
Hakuna net inayoboa kama hiyo ni bora wafunge tu, ikifika saa tano wanafunga 3G hata ukiconect manually, wanatuacha na the slowest internet dunia nzima hakuna, nashusha mzigo 5-9Kbps Hugo harassment mtoto ukimpa hawezi kutumia... Hii ni dharau
na mimi nlitaka kushangaa..kumbe inatembea speed ya kobe mimi nilifikiri ni full speed. Kweli voda hawawezi kukupa ofa iliyokamili...
usiombe hata kupoteza hiyo 250, ipo slow hakuna mfano.
Tumia kwa masaa ya kawaida lakini sio muda waliokuambia.
*102*250 ongea bila kikomo msg bila kikomo internet bila kikomo nashusha siku za wikendi saa tano hadi saa moja unatakiwa uwe na 250
250 nyingi, free yetu uwa tunamaanisha zero=0=free=bure
nime itest hii kitu leo, inapiga full speed. angalia hii hapa screenshot nilicapture..View attachment 59465
Mh.....!!! taratibu mwanakwetu wakija inyaka hiyo Ishu speed itakuwa mwendo wa konokono!!
Hahaha teh teh teeh mkuu jamaa walitegemea wachache ndiyo watakesha na net ila wakijagundua kumbe wajanja hawabundi bali wanatega nyavu zao usiku (torrenz,frostywire+ IDM) then asubuhi wanachukua mavuno kiulaini subiri uone watakavyominya kama siyo kukata kata mkuu!!!Hahaha Dah aliezoea vya wizi utamjua tu. Sasa hio si huduma ya mtandao voda wameeka wenyewe?
Hahaha teh teh teeh mkuu jamaa walitegemea wachache ndiyo watakesha na net ila wakijagundua kumbe wajanja hawabundi bali wanatega nyavu zao usiku (torrenz,frostywire+ IDM) then asubuhi wanachukua mavuno kiulaini subiri uone watakavyominya kama siyo kukata kata mkuu!!!
ah kama faida wangeliwaachia watu mchana
kumbe unajua but unajifanya ujui mkuu!!!sasa mchana wateja wao wakubwa wanafanya kazi mkiachiwa free si ndo mtaeka net slow kusifanyike chochote