S40's SPECIAL!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

S40's SPECIAL!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by rickymj, Jul 22, 2012.

 1. rickymj

  rickymj Senior Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hellow gents+ladies!!
  Leo napost hii ki2 kusaidia nokia s40 userz ku2mia handler apps(eg.opera,ucbrowser,gmail etc) for free internet husasan kwa mtandao wa kaz ni kwako!

  1.unapaswa uwe na handler apps mfano kama hii opera 7.0 handler
  baada ya kudownload achana nayo kwanza.

  2.pia unapaswa uwe na prov generator ambayo itakusaidia kupata settingz kwaajili ya handler yako.click here
  ukisha ingia hapo download prov ilo ktk extension ya .jar
  then open it utakuta details km hz

  connection name:weka yoyote
  Apn:internet
  proxy server:141.0.11.253 au server4.operamini.com
  port:80
  Dns1:blank
  Dns2:blank
  homepage:weka free site(eg.fb.me,,,etc)
  then click OK.
  Hy prov itakuwa saved in MMC
  then i2me Kwny phone Nyingine(esp.chinese phone) via bluetooth then uresend tena kwako utapokea new configuration thn i save and activate it.

  3.then go kwny opera yako ulodownload ifungue then kwny handler menu ijaze hv
  custom http:
  http://server4.operamini.com:80/

  custom socket:
  socket://server4.operamini.com:1080

  proxy type:host/real host
  proxy server: (any free site e.g fb.me,,etc)
  then click OK

  install It and enjoy freenet!
   
 2. mase88

  mase88 JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  mdau na cc wa ma-destop? mhhhhhhhhhh
   
 3. anjnr

  anjnr JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 483
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nimedownload na kuweka hizo data kwenye provlakini nikiweka ok ili kusave ktk mmc inaniletea ujumbe "Done creating provisioning file". Hiyo message imekaa kwenye screen muda mrefu na hakuna kitu kinaendelea, ina option moja tu "Dismiss" nikibonyeza inarudi kwenye data nilizoingiza. Hapo tunafanyaje? Simu yangu Nokia 5130 xpress music.
   
 4. rickymj

  rickymj Senior Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ukisha dismiss baada ya DONE CREATING PROV FILE ikoclose then nenda kwenye MMC utakuta hilo file inunsupportd format (i.e .prov) thn isend kwenye phone nyingn via bluetooth afu i2me tena kwako utapokea new configuration settingz thn zisave na uziactivate
  afu endelea km nlivyotoa maelekezo
   
 5. e

  elank54 JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wa android vp??
   
 6. anjnr

  anjnr JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 483
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  asante, baada ya hapo nimeenda kwenye opera niliyodownload, nimefeed hizo data lakini naposave inaniambia unable to connect to the internet. please check your settings! naweza kuwa nimwkosea mahali gani?
  Kwenye ntwk settings kuna row ya kwanzaiko plain hapo nimeandika http://server4.operamini.com:80 halfu row ya pili imeandikwa configuration name, nimeandika hiyohiyo. Halafu kuna row zingine tatu zmeandikwa front, middle na back query nimeacha wazi. Hakuna row ya custum socket ila ipo iliyoandikwa Filter, nimejaza hapo hiyo socket. Proxy type na server nimejaza kama ulivyoelekeza na username na passwd nimeacha wazi. More help please!
   
 7. anjnr

  anjnr JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 483
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Du! sasa imekubali mkuu baada ya kubadili hiyo row niliyokuwa nimeandika ktk filter. sasa naomba unisaidie mambo mawili
  1. Nahitaji kubadili defaut config settings niweke hii niliyoinstal? kwani naona ni miongoni mwa list ya config.
  2. nilikuwa natumia opera mini4 awali, niiondoe baada ya kuweka hii mini7? kwani kwenye orodha zipo zote.
  Zaidi ya hapo nakushukuru, upo juu!
   
 8. rickymj

  rickymj Senior Member

  #8
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  owkeyz,,,
  1.kuhusu kuifanya iwe default ingia settings>configuration>default config.
  Then iactivate uliyoitengeneza ku2mia prov generator

  2.kuhusu kuwa na hz opera 4 na 7 hainashida ni uamuz wako ila kwa ma2mizi ya free 2mia hy ya handler

  baadae km wavp naweza kupost na ya uc browser handler humuhumu kama pipo mkirequest!

  NB:Kuna other settingz waweza ongeza ambazo zitakupower kwny kudownload na uploading file jaza hz

  front query: weka free site yote/cgi-bin/nph-proxy.cgi/000000A/http/

  back query:?mega.twimg.com/speed.net

  kwenye filter ucjaze chochote iache hvy hvy.
   
 9. rickymj

  rickymj Senior Member

  #9
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  cna android ya kujarb hy ki2 arif
   
 10. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #10
  Jul 22, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,009
  Trophy Points: 280
  Hii copy an paste haifany kaz hapa bongo
   
 11. rickymj

  rickymj Senior Member

  #11
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  oryt mr. Chief we're here 2 depart knowledge and nat thy issue ov copy and paste najua kinachokutatiza ni hy front query uliyoweka jf store but look it with this japo with slyt difference t works kwangu!
   
 12. anjnr

  anjnr JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 483
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  ok thanks, sahz nikiifungua inafungua mojakwa moja page ya voda opera, namaanisha it is working, sasa, namna gani ya kuedit niongeze hizo info za front na back query, nahitaji kuirun upya? kwani nimejaribu namna ya kuanza kuedit sijaona. kindly please, maada wako tena.
   
 13. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #13
  Jul 22, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,009
  Trophy Points: 280
  sjakurupuka kaka i have reasons nazo ni

  1. Umesema free site mfano fb.me sisi hatujawah kua na free site kama hio bali ni india

  2. Umesema backquery. Backquery ni lazima sio option iwe imetengenezwa na free site sasa we backquery yako ni ?mega.twimg.com/speed.net sisi tanzania hatujawahi kua na free site twimg.com nayo hiyo ni ya india.

  Kupata working tricks za front query na backquery lazima uzitest independently bila proxy au trick we umezitest? Maana unaweza kuta trick nyengine ndo inaoperate hio inabebwa
   
 14. rickymj

  rickymj Senior Member

  #14
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  1.hahaha naam mr.chief kuhusu hy free site sio kwamba bongo haipg mzgo yan mpk hp av gon trialz on my own
  jarb hy fb.me na pia m.twitter.com km host thn notify me,na ndo maana hy copy +paste soundz awkward to me!

  2.the otha thing kuhusu hy backquery i shouldn't comment any thng inawezekana kuwa frnt query imeiova ride ndo maana u cn see evtn works quite perfectly bob.
   
 15. rickymj

  rickymj Senior Member

  #15
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ukiwa unailaunch hy application inapop handler menu b4 procding unless uwe umeunmark showng @ start pnd unaifill handler menu 4 the first tym
   
 16. anjnr

  anjnr JF-Expert Member

  #16
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 483
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hallo nimeitumia ipo vizuri sana but it seems siyo free kwani baada ya bundle niliyokuwa nayo kwisha inaniambia unable to connect, review your connection settings
   
 17. j

  jumaa24 Member

  #17
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kaka na sisi wa s60 niaje hatuwezi pata haya mautamu especial kwa ucweb!! Coz i see opera mini ina tatizo ku download big files especial kuanzia 100MB
   
 18. rickymj

  rickymj Senior Member

  #18
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  utakuwa umekosea mahali anjnr Kwny kuconfigure hakikisha settngz ulizotengeneza ku2mia prov ndo unazi2mia unazifanya kuwa default afu pale chn yake utakuta activate in ol applications unasema ok na chini tena kuna access point inaitwa PROXY ichague hy afu kilaki2 kitakuwa pouwa bro.
   
 19. rickymj

  rickymj Senior Member

  #19
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwa s60 inawezekana,,,ila hutohitaji kutengeneza settingz ku2mia prov. Generator labda kama ukipenda!

  1.pata hii Ucweb v8.4 handler kwasababu 8.3 huwa inaleta blank pages.

  2.then kwenye settngz zako weka
  proxy:173.254.204.80
  port:80
  apn:internet
  homepage:m.twitter.com

  ukiwa unainstall 4 the first tym itakwambia failed 2 load homepage lkn ukiproceed inapga mzigo km kawaida joh.
   
 20. j

  jumaa24 Member

  #20
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ok!! Ngoja niingie mitamboni!! Ntakupa feedback
   
Loading...