FUNDI SIM/wanaopenda kujifunza kutengeneza sim kwa kiwango cha juu.naitwa jackie maduhu nyumban misasi mwanza.bt now niko nchini uganda kimasomo,niko chuoni newcastlehighsky generation.nachukua...
Jamani laptop yangu nilimwachia bro., baada ya kuirudisha nikagonga mwamba kwenye yafutayo
1. Niki-login kwenye account yangu ya yahoo naambiwa kwamba nime-submmit invalid information either id...
Jamani mwenzenu ndo hivo tena ,yani juzi naiwasha ndo imeanza kuonesha rangi rangi na mistari ya rangi mbali mbali zikitokea juu kushuka chini ktk display!!kifupi tu saiz haioneshi chochte zaidi...
Requirements: Android v2.1+
Overview: WhatsApp Messenger is a smartphone messenger available for Android, BlackBerry, iPhone, Windows Phone and Nokia phones.
WhatsApp Messenger is a smartphone...
guys about a week now!! Napata head phone icon kwa display ya 4n kama nimechomeka headphone wakati sijachomeka!! And de problem ni kuwa siwezi kuongea mpaka kwenye loudspeeker!! Anyone can solve this
Shalom Wakuu. Nilikuwa najaribu ku-install VLC Media Player kwenye Laptop na katika kuminyaminya kwa bahati mbaya nikaminda kitu ambacho nadhani Sikupaswa kuminya na kuanzia hapo sauti ikapotea...
I am using a blackberry phone and subscribed to BIS.
I am trying to connect to the internet on the laptop via the desktop manager installed of BB on my laptop.
I select the IP Modem option...
Patients without the ability to use their limbs may have a new way to communicate, thanks to researchers in France. This offers hope to sufferers of strokes, spinal injuries, or degenerative...
'Impossible' Stars Found in Super-Close Orbital DancesBy SPACE.com Staff | SPACE.com 17 hrs ago
View GalleryThis artist's impression shows two active stars M4-type red dwarfs that orbit...
Shalom! Nilikuwa nikii-install VLC Media Player kwa bahati mbaya katika kuhangaika na kuminya minya bila shaka niliminya kisichopaswa kuminywa na matokeo yake sauti kwenye Laptop yangu ikapotea...
si ajabu kuwa wengi hili linawaudhi ila hawana jinsi ya kuepukana na nalo. Na kama una simu ya laini mbili ni adhabu tosha.Matangazo ya promotion kila dakika hadi simu inajaa na unashindwa kupata...
Heshima yenu wataalamu.
Naomba mnifahamaishe kama kuna namna yoyote ya kuweza kubadili picha ya video iliyo katika mfumo wa VHS kwenda katika VCD au DVD. Kama kuna mashine za kufanya kazi hiyo na...