E71 Nokia ..Unable to send message | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

E71 Nokia ..Unable to send message

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by FirstLady1, Mar 10, 2010.

 1. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  wapendwa simu yangu ni Nokia E71 lakini nina week sasa kila nikituma msg inanimbia unable to send message ..
  msaada tafadhari nifanyeje?
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Jaribu ku-check kwenye 'message settings' kama 'message centre' number iko sawasawa. Kwani unatumia mtandao gani (optional)?
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  natumia Zain ..ila hii simu imenichanganya SMU ingawa nimeitumia kitambo sasa najaribu kwenda kwenye message setting ili nipate message centre siioni ...
   
 4. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2010
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,039
  Likes Received: 382
  Trophy Points: 180
  Mie najitolea kukutengenezea bure ni PM ama nikishindwa nakutafutia ingine
   
 5. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Labda jaribu hivi:
  Click kifolder cha messaging(mara nyingi kipo kwenye 'desktop' ya simu yako)...then click options...then select 'settings'....then select 'text message'.....then probably utaona sehemu unatakiwa kuweka message center (mara nyingi ni automatic process lakini just check kama hakuna kitu basi inawezekana ndio tatizo). Zain message centre number +25578 000 000 4.
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  A:
  Wapigie Zain waambie aina yako ya simu waweze kukupadatia manually simu yako .inawezeka kwenye profile za simu zao hawana hiyo.

  B:
  jaribu kucheki message settings( center No) kama ipo sawa.
  Menu > Communication > Messaging > (left key) Options > Settings > Text Message > Message Centres > (left key) Edit or New Message Centre > Define a new one or edit the existing

  C:
  Jaribu kuweka simcard ya Voda au tigo kama unzo utume sms uone. zikienda zitakuwa ni problem ya seeting za zain( simcard) zisipoenda tatizo litakuwa kwenye phone setting

  D:
  Tembelea tovuti ya Nokia support
  http://nokia.com/support . Weka model ya simu then type tatizo lako utakuna advice tha what to do.

  Good luck
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  nawashukuruni sana ..kweli JF hakuna linaloshindikana
  B:
  jaribu kucheki message settings( center No) kama ipo sawa.
  Menu > Communication > Messaging > (left key) Options > Settings > Text Message > Message Centres > (left key) Edit or New Message Centre > Define a new one or edit the existing


  simu yangu sasa imetengemaa naweza kutuma message kama kawaida
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Pole hawa Zain mara nyingi huwa wanakuwa vimeo kwenye maswala ya message wengi huwa wanalalamika.
   
 9. MedokGync

  MedokGync Member

  #9
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I think, that you are not right. I suggest it to discuss. Write to me in PM, we will communicate.
   
Loading...