FUNDI SIM/WANAOPENDA KUJIFUNZA KUTENGENEZA SIM KWA KIWANGO CHA JUU,post here | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

FUNDI SIM/WANAOPENDA KUJIFUNZA KUTENGENEZA SIM KWA KIWANGO CHA JUU,post here

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Jackie maduhu, Apr 9, 2012.

 1. J

  Jackie maduhu Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  FUNDI SIM/wanaopenda kujifunza kutengeneza sim kwa kiwango cha juu.naitwa jackie maduhu nyumban misasi mwanza.bt now niko nchini uganda kimasomo,niko chuoni newcastlehighsky generation.nachukua ICT sky generation,pamoja na phone diagram solution with soft/hardware tech.napenda sana kuwatangazia vijana wenzangu wa kitanzania,kama kuna mtu anahitaji apate upeo wa kutosha kuhusu ufundi sim asijali awe tayari maana nimebakiza mda kidogo sana kutoka hapa jikon. Huu ni utanguliz tu kama upo hapo nipost
   
 2. L

  Luiz JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nipo nahitaji sana hii taaluma ya ufundi simu weka hapa mawasiliano tutafutane.
   
 3. J

  Jackie maduhu Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ahsante sana LUIZ, kabla ya yote kwanza ningependa kukuambia kuwa taalma ya ufundi ni sim/computr au freeqnc transmetion.ni aina moja nzuri sana ambayo inaenda na wakati pia ni moja ya taalma zinazochukua hatua za juu sana hata katika mzunguko wa maisha ya binadam na ukanganyaji wa soko la ajira.hayo ni machache tu,ila kama uktaka mawasiliano mhimu njoo kwenye rocket yangu hii jacskylovebest9@rocketmail.com
   
 4. J

  Jackie maduhu Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ahsante sana LUIZ, kabla ya yote kwanza ningependa kukuambia kuwa taalma ya ufundi ni sim/computr au freeqnc transmetion.ni aina moja nzuri sana ambayo inaenda na wakati pia ni moja ya taalma zinazochukua hatua za juu sana hata katika mzunguko wa maisha ya binadam na ukanganyaji wa soko la ajira.hayo ni machache tu,ila kama uktaka mawasiliano mhimu njoo kwenye rocket yangu hii jacskylovebest9@rocketmail.com
   
 5. G

  GABE100 Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tupe na facebook yako
   
 6. k

  kangamoko Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni vyema ukatuwekea maujnja humuhumu
   
 7. J

  Jackie maduhu Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usijali kaka mambo mazuri hayatak haraka,je wewe unajishughurisha na nin hasa,ila kuhusu facbk nitakupatia mda si mrefu.polen na msiba wapendwa.yaan huku uganda utafikir THE GREAT KANUMBA anazikwa kampala,yaan watu kwenye runinga wameso sana eti.
   
 8. J

  Jackie maduhu Member

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usijali kaka mambo mazuri hayatak haraka,je wewe unajishughurisha na nin hasa,nitaweka mambo kwa ufupi mda si mrefu.polen na msiba wapendwa.yaan huku uganda utafikir THE GREAT KANUMBA anazikwa kampala,yaan watu kwenye runinga wameso sana eti.
   
 9. k

  kicha JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 509
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 180
  kaka samhani nipo nje ya mada, nna bberry 8900 tatizo ni network, sos, kisftware imeshindikana, unahisi inatengenezeka kweli?
   
 10. Rjohn

  Rjohn JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 599
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  sasa kila mtu anataka kuwa fund mtatengeneza za nan au siyo kibiashara?
   
 11. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  ######################################################################
  ################### #################
  ######################################################################
   
 12. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  hapo kaka unacheka? Hash! Hash! Hash!
   
 13. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  %%%%%%%%%%%%%%%%@@@@@@@@@@@@@@&&&&&&&&&&&&&&&&**************
   
 14. M

  Matunyengule JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hv SIM=SIMU. Rekebisha kwanza hapo siyo fundi SIM. Line za simu ndio huitwa SIM(Subscriber Identity Module) ni microclip zinazohifadhi data za mtandao wa simu.
   
 15. Jungumawe

  Jungumawe JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2012
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 246
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  yaleyale microclip = microchip
   
 16. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  hapo ni sim au simu.., coz mm nnavyoelewa sim ni lyn af naona wanao reply wanaongelea simu... Funguka kaka...
   
 17. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Napita tu jamani nitarudi mtaalam atakapo hitimu
   
 18. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  mbona hamnijibu

   
 19. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Mkuu, ndiyo maana mdau akawataka wale wanaotaka kujifunza wamtumie waswali kabla hajatoka chuo!
   
 20. s

  swagger kid Member

  #20
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  all the best kaka, we need u + maujanja yako
   
Loading...