Kimenuka, naomba msaada wenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kimenuka, naomba msaada wenu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by baina, Jul 25, 2012.

 1. baina

  baina JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani laptop yangu nilimwachia bro., baada ya kuirudisha nikagonga mwamba kwenye yafutayo

  1. Niki-login kwenye account yangu ya yahoo naambiwa kwamba nime-submmit invalid information either id or p/word.

  2. Lakini nikitumia taarifa hizo hizo kwenye pc nyingine zinakubaliwa.

  3. Niki-login gmail kwenye laptop hiyohiyo inakubali, na jambo la ajabu inakataa yahoo id zote lakini inakubali gmail, htmail, ..........

  4. Je kwa haya matatizo naweza pata jawabu?

  Msaada tafadhali.
   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,473
  Trophy Points: 280
  jaribu kucheki na internet provider wako unatumia modem gani?
   
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu hili tatizo lipo yahoo hata mke wangu account Yake desktop ya nyumbani inakataa nikijaribu laptop yangu inafungua ndo hapo nikachoka kabisa.Sijui madudu gani wanaleta hawa jamaa
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,776
  Likes Received: 7,094
  Trophy Points: 280
  - angalia isije kua inaandika kwa herufi kubwa sehemu nyengine ndogo

  - kuna baadhi ya browser zina tabia herufi ya 1 inaaanza kubwa zinazofatia ndogo

  -jaribu kudownload browser nyengine ya laptop na ulogin uangalie
   
 5. rfjt

  rfjt Senior Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mimi tatizo hili nimekuwa nalo kwa wiki tatu sasa, niki-login kwa simu haikubali, lakini desktop inakubali. Bila shaka Yahoo wana matatizo siku hizi kwani haikuwa hivyo siku za nyuma.
   
 6. AKON

  AKON JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  chek internet browser!! nenda tools angalia settings zako!! ,
  fanya ku restore windows to earlier settings!
   
 7. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
 8. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

  DEVUQUARTER-DEVUKOTA JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 363
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jaribu kurun CCleaner na hakikisha unatick vibox vyote isipokuwa kile cha mwisho chini then jaribu tena zoezi la kulogin yahoo alafu ulete back up mkuu
   
 9. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  - futa browsing history, cache, cookies
  - tumia browser mbadala kati ya IE, Safari, Firefox etc
  - yahoo wamekuwa wakishauri kubadili Password mara kwa mara - ni bora kufanya hivyo pindi unapofanikiwa kuifungua au ikigoma uombe kubadili lakini utaulizwa security questions ulizozichagua wakati wa ku sign up ili utoe majibu.
  - nguvu ya mtandao pia huenda inachangia - lakini kwa nini iwe kwa yahoo pekee. gmail haina shida na hata kwenye ku attach ni faster.
   
 10. newtonfox

  newtonfox Senior Member

  #10
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Yahoo mkubwa wana matatizo kwenye system zao hasa kwenye upande wa logi system mi nilushahamia gmail wana service nzuri but system zao huwa ziko down ..... either hackers inawezekana wakawa wanawasumbua si wewe tu afu kitu..... kingine ukilogin kwenye hiyo mashine inayokubali try to change da password na recovery mail + qn zitakusaidia kuingia kokote ikikuzengua unaenda knwenye link ya ACCENT ACCESS MY A/C
   
 11. baina

  baina JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kuna shida niliowahi kukumbana nayo basi na hii ni kiboko, wanajamvi nimefanya hayo yote mlioagiza nifanye bila mafanikio, mbaya zaidi nimewatumia hata marafiki zangu ili nao wa-login kwenye acc zao na wao wameshindwa, yeyote anayetumia yahoo amekwama, lakini kwenye machine nyingine lainiiiiiii. Sijui tatizo ni nini? Na kwanini ishu hii iwe ni kwa yahoo tu?
   
 12. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Umejaribu kulog in kwa link niliyokupa kweli? Kama imeshindikano hiyo jaribu Login site ya mobile lakini unaweza kuitumia kwenye PC.

  Pia lete taarifa kamili zaidi, wote mnaoshindwa mko mtandao mmoja? Hizo PC zinazokubali ziko mtandao huo huo au tofauti?
   
Loading...