Msaada: No Audio Device Found | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: No Audio Device Found

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by BabaDesi, Jul 25, 2012.

 1. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Shalom! Nilikuwa nikii-install VLC Media Player kwa bahati mbaya katika kuhangaika na kuminya minya bila shaka niliminya kisichopaswa kuminywa na matokeo yake sauti kwenye Laptop yangu ikapotea kabisa. Nikiweka DVD inaonyesha vizuri lakini haina sauti. nimecheki kwenye control panel upande wa sauti inaniambia 'No Audio Device found'. natakiwa kuinstall nini ili nipate tena sauti? Shukurani zimetangulizwa.
   
 2. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Unatumia Windows gani?
  Je kabla ya hapo sauti iliwepo?
  Unatumia PC gani?
   
 3. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Asante Mkuu.
  Natumia Windows Professional
  ILikuwepo na inafanya kazi vyema tu.
  Natumia Toshiba Mkuu.
   
 4. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Tafuta Draiva ya Sound
   
 5. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Windows Professional ipi?????????????????????!!!!!!!!!!!
  a). Windows 95 Professional
  b). Windows 98 Professional
  c). Windows XP Professional
  d). Windows Vista Professional
  e). Windows 7 Professional
  f). Windows 8 Professional
  Chagua moja ili wadau wakusaidie.
   
 6. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Pole mkuu kwa kushituka!Nimepitiwa shauri ya haraka!

  Ni Windows XP Professional / Version 2002 / Service Pack 3  Ubarikiwe mkuu.
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  -Right click my computer icon
  -click Manage
  -device manager
  angalia kwenye sound kama kuna alama ya kuuliza kama ipo basi huna driver za sauti..tafuta cd ya drivers au weka aina ya laptop na model yake hapa ili tukusaidie kutafuta link za drivers.........
   
 8. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  right click my computer, properties, device manager kisha angalia kama unaona alama yoyote ya njano!! kama amna pale juu kuna button moja ya "scan for hardware changes" click hiyo afu uona kama kuna alama yoyote ya njano au kitu chochote kutokea..then lete majibu!!
   
 9. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Download hii software DRIVERS GENIUS PRO then disconnect internet uanze kuinstall na kuingiza serial key zake afu weka net urun itasearch Drivers zote ktk pc yako.
  ikishamaliza kuscan bonyeza fix now then download all (hapo itadownload drivers zote muhimu za pc yako) afu install hizo drivers pc yako itakuwa poa kila idara.
  usisite kutoa feedback mkuu!!!
   
 10. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  ukishindwa kabisa, Instal moja kati ya hizi Sound Drivers za Win XP nadhani itatatua tatizo lako,,
   

  Attached Files:

 11. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...NInakushukuru sana Mkuu. Kwenye Audio Devices kwenye sehemu ulizoelekeza zote zina alama ya kuuliza ya njano. Sina CD ya Drivers na Laptop Yangi ni TOSHIBA Model PSAAQE -006008 Serial no 270232570.
  Nitawashukuru sana wakuu kwa msaada wa hiyo Kitu. Ah, haya matatizo ya kukutana na DotcoM uzeeni nayo yana matatizo yake! teh teh.
   
 12. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Asante sana mkuu. Ngoja nifanye hii nione matokeo. nitaleta feedback.
   
 13. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Mkuu nimejaribu kudown load hiyo software lakini inanitaka niweke namba zangu za cm kwanza, nikabaki kung'aa macho!
   
 14. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ..imekataa mkuu. niki-download mb 2 tu inakwama...
   
 15. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Pole mkubwa basi chukua hii DRIVERS GENIUS PRO ipo mzuka haina kwere.
  Jinsi ya kuinstall fuatilia maelekezo ya screen shoot ikiwa tayari fanya kama nilivyokuelekeza kabla.


  drivers genius.JPG

  crack-1.JPG
   
Loading...