BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,228
- 4,200
Shalom Wakuu. Nilikuwa najaribu ku-install VLC Media Player kwenye Laptop na katika kuminyaminya kwa bahati mbaya nikaminda kitu ambacho nadhani Sikupaswa kuminya na kuanzia hapo sauti ikapotea kwenye laptop hiyo. Nilipoangalia kwenye Control Panel upande wa sauti inaniambia kuwa 'No Audio Device Found. Nikiangalia DVD inaonyesha vizuri lakini haina sauti. Ninaomba msaada wa nini cha kufanya ama program ya ku-install ili kupata tena sauti iliyoptea! Shukurani zinatangulizwa