Namna Ya Kubadili VHS kwenda katika DVD au VCD. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namna Ya Kubadili VHS kwenda katika DVD au VCD.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Katavi, Jul 19, 2012.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Heshima yenu wataalamu.
  Naomba mnifahamaishe kama kuna namna yoyote ya kuweza kubadili picha ya video iliyo katika mfumo wa VHS kwenda katika VCD au DVD. Kama kuna mashine za kufanya kazi hiyo na zinapatikana wapi.
  Asanteni.
   
 2. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Inawezekana. Tembelea studio zilizoko maeneo ya kariakoo kama uko dsm, utapata huduma hiyo.
  Ukitaka fanya mwenyee inabidi uwe na video capture hardware na software yake ndo utaweza.

   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Asante sana, hapo mwisho sijakuelewa unaweza kunifafanulia zaidi??
   
 4. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Ni hivi:
  Ili u-convert from vhs to dvd or vcd unatakiwa uwe na card inayoitwa video capture card. Inafanana na ile network interface card (nic) ama tv card. Unaipachika ktk pc yako. Sina uhakika kuna kuna usb video capture card. Kazi ya card hii kuchukua picha/video kutoka katika vcr/deki ya vhs na kuingiza ktk pc na kuibadilisha kwenda dvd/vcd. Hiyo card unauziwa na installation cd yake na cable zake.
  Kuna kipindi nlikuwa nataka kufanya kama wee, nikapita studio flan pale kariakoo ila tulishindana bei. Studio yenyee ilikuwa pale zinakopanga daladala za kwenda kawe na msasani.

   
 5. kvelia

  kvelia JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hii technologia imeshaenea sana, jaribu studio iliyo karibu nawewe, mmi nilitumia elfu kumi kuchange VHS TO DVD. Ila kama unataka kununua mimi sijui mkuu.
   
 6. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #6
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 908
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Simple tu fanya hivi.
  Nunua TV TURNER inauzwa sh 20,000 tu,chomeka kwenye computer(PC) kisha ingiza hiyo VHS kwenye deck,AVI wire ingiza kwenye TV TURNER hiyo itacheza kwenyer pc hivyo itakuwa imekuwa digital unaweza kuifanyia lolote.kazi kwisha
   
 7. yuppie boy

  yuppie boy JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  its very eazy nunua DVD au VCD inayoweza kurecord kisha unakonnect VHS kwenye DVD or VCD ambayo ina record then unarecord. me mwenyewe nafanyaga hivyo, DVD nayotumia ni LOGIK LDVR78 ni best kwa kazi hizo and also ina king'amuzi ndani yake kinachotumia antena ya kawaida.
   
Loading...