N ng'wanishi Member Jan 23, 2012 34 1 Jul 27, 2012 #1 nifanyeje,pc yangu imezima bila sababu na haitaki kuwaka tena. Nini tatizo?
Aqua JF-Expert Member Jul 23, 2012 1,658 1,229 Jul 27, 2012 #2 Umeme upo?Unganisha umeme,washa.Angalia kama kuna ujumbe wowote inakupa kwenye screen.Sreen ina langi gani Black or blue ukiwasha?
Umeme upo?Unganisha umeme,washa.Angalia kama kuna ujumbe wowote inakupa kwenye screen.Sreen ina langi gani Black or blue ukiwasha?
N ng'wanishi Member Jan 23, 2012 34 1 Jul 27, 2012 Thread starter #3 haiwaki kabisa. Nilikuwa naangalia picha ikazima tu
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,985 93,998 Jul 27, 2012 #4 unatumia LAPTOP au DESKTOP PC? Kuna uwezekano "Power Supply" imeungua au "Power Supply Adapter".
N ng'wanishi Member Jan 23, 2012 34 1 Jul 27, 2012 Thread starter #5 hatimaye imewaka,nimetoa battery nikaicha kwa muda afu nikairudisha imewaka. Lakn ilinitisha kuzima ghafla kama umeme wa tanesco
hatimaye imewaka,nimetoa battery nikaicha kwa muda afu nikairudisha imewaka. Lakn ilinitisha kuzima ghafla kama umeme wa tanesco