JF Ulimwengu wa watatuzi-Ghafla tu PC yangu(Packard Bell) Imeanza kuonesha mistari tu ktk display | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF Ulimwengu wa watatuzi-Ghafla tu PC yangu(Packard Bell) Imeanza kuonesha mistari tu ktk display

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by wise dide, Jul 27, 2012.

 1. wise dide

  wise dide Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jamani mwenzenu ndo hivo tena ,yani juzi naiwasha ndo imeanza kuonesha rangi rangi na mistari ya rangi mbali mbali zikitokea juu kushuka chini ktk display!!kifupi tu saiz haioneshi chochte zaidi ya hayo....msaada plz wadau
   
 2. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  consider replacing your PC's display(screen)
   
 3. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Mkuu display imekwisha Haribika kama alivyokushauri jamaa hapo juu.
  Hizo mistari tunaita Matrix
   
 4. wise dide

  wise dide Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Thanx Guys,&sorry pia wapi ni sehemu possible kwa mm kupata display ya hiyo machine??au just ni possible wakaweka diplays kwa kuzingatia size tu na wala sio manufacturing company(Packard Bell)??
  thanks in advance....
   
 5. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Ukitaka kununua original display brand new na kuwekewa na authorised dealer bei yake inaweza kuwa kubwa kuliko kununua laptop nyingine tu. Ukinunua display used au fake na kuwekewa na fundi "wa mtaani" huna guarantee ya life ya hiyo display.
  Ningekuwa wewe ningefikiria kutafuta laptop nyingine tu.
   
Loading...