Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Issue: 1.ku upload MS SQL database (kila kitu tables, views, procudures,...)kwenda kwenye hosting server Naomba msaada wa detailed steps zinazohitajika kusolve issue #1 Limitation: Njia pekee...
0 Reactions
2 Replies
992 Views
wana jamvi nimetafuta hii software sana ila sijaipata ya kudownload direct for free jamani kama kuna mtu anaeza kunisaidia pleaseeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!ZZZZZZZZZZZZ
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wandugu nina project zangu sasa natafuta software ambazo naweza kutumia kuendesha hizo project mfano cost analysis, cost alocation na zitakazo weza kuendesha kila kitu nikawa nakiona nakijua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
katika kusoma kwangu magazeti ya hapa Tanzania nimekuta mahali unaelezewa mtandao unaoitwa (mtandao wa BBM) kama yupo anaeweza kunifafanulia nitashukuru kwa kutumia dakika zake na kunielewesha.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
zantel inanigomea ku connect
0 Reactions
2 Replies
981 Views
Nina External hard disk yangu ya TRANSCEND but haisomi kwenye DVD player inayosoma USB, Kwenye computer haina shida yoyote. Naomba msaada please kwa mwenye ujuzi huo.
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Hizi Dashboar ziko mbili tofauti, ipo ya Huawei kwa modem zote za Huawei, download dashboard For all other Huawei dongles on Windows XP, Vista and 7 Download hapa here...
5 Reactions
35 Replies
10K Views
By EVELYN M. RUSLI and NICK BILTON | July 27, 2012 Apple, which has stumbled in its efforts to get into social media, has talked with Twitter in recent months about making a strategic...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
inaweza ikawa habari mbaya au nzuri kwa nokia user mkuu maarufu kama chief mkwawa nokia wameachia NOKIA N1 Inayotumia androids 4.0 with 41 megapixels za camera...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Pole na shughuli. Samahani, Gushit Team tunaomba utusaidie maoni/mawazo yako katika idea yetu ambayo imefanikiwa kuvuka hatua ya kwanza ya African News Innovation Challenge(ANIC) ambao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada. Ninatumia modem ya Voda. Nime-download 'Ares', nime-install lakini haifanyi kazi. Kuna kitu nimekosea? Naomba msaada wenu jamani.
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Model E153u-1 IMEI 869604001802726
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani naomba kuelimishwa, je nokia x2 ina os gani? au haina na kama haina je ninunue simu gani yenye os ya android iliyo na bei si zaidi ya tsh 200000 nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
cos kila nikijiunga na sms zao wananikata hela na sms hawanipi
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau, nahitaji solar CHARGER ya laptop, je ni wapi zinapatikana DSM. Nawasilisha Wadau
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Naomba kujua ikiwa kama nitaweka flash disk au kuunganisha simu kwenye computer, je mafaili yasiyofunguliwa yatakuwa salama dhidi ya virusi? Kama ndio au hapana, ni kwa nini? Naomba kuwakilisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kila ninapo - attach file kwa email account yangu ya gmail wakati natumia laptop yangu hiyo attachment inashindikana ku-upload. Lakini nikitumia computer nyingine attachment inakubali. Tatizo ni...
0 Reactions
3 Replies
921 Views
Wakuu naomba msaada wa kuinstall moderm ya vodacom aina K3570z coz ikifika stage ya mwisho inagoma
0 Reactions
1 Replies
792 Views
Habari wanajamvi!naombeni freq za DD SPORT ya india ili nami niweze pata angalau matukio machache ya Olympic Ni matumaini yangu mtanisaidia.
0 Reactions
0 Replies
962 Views
guys i need IP and Port za zantel coz nashidwa pata automatic configuration from zantel kwenye 4n yangu
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Back
Top Bottom