Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Umeisikia Hii Mikoa kumi kuwekewa mfumo mawasiliano ya inteneti pengine itakuwa mkombozi KAMPUNI ya Six Telecoms Data, imezindua mpango wa kusambaza mfumo mpya wa mawasialino ya inteneti katika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
I just Upgraded My Froyo Ideos .. En its Now running Ginger 2.3.5 oltho there some bugs .. but it runs smoothl ..wel I'm gona get bak with the trick .. its kinda risk coz u mite break tua phon on...
0 Reactions
0 Replies
553 Views
Wana Jf Msaada wenu pls, nitawezaje ku copy contactz zangu katika blackerry, ziko ndani ya phone book (natumia BB Curve) ziende kwenye computer? Natanguliza shukrani..
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada wa kujua kudownload Drivers and Software nilinunua TV card aina ya Light wave (USB TV/AV COMBO with FM) cd imepotea niliformat PC yangu sasa nahitaji kuinstal upya .Naombeni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
nina memory ya 2GB imefungwa na password na mi sina hizo password nisaidieni namna ya ku unlock kwani nimeserve vitu muhimu sana natumia nokia 6300.niko tayari hata kwa kulipia
0 Reactions
0 Replies
601 Views
Jamani wadau, hii browser ni nzuri, na just as fast as opera mini next, or even faster than it. Mi naitumia kwenye Nokia 5800.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Naomba mwenye ufahamu wapi nitapata hii virtual Dj version 7 anifahamishe iwe link ya kudownload au la!
0 Reactions
8 Replies
3K Views
is it possible to get free itunes application without an apple account for ipod?
0 Reactions
2 Replies
706 Views
kwa vodacom kufunga proxy wametupa somo kubwa kuwa tusianike mambo yetu hadharani sana maana kuna watu humu wanajifanya hawajui kumbe ni maspai jamani kweli TZ kuna mambo tuwe makini wataalamu
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Vp wana JF, nina external harddisk 1TB nimeshindwa kuifanyia setup kwenye window, inaonekana lakini kufunguka mbinde. Nisaidieni kwa hilo, aina ya External ni Goflex
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Waadau nimeinstall PES 2012 kwenye laptop yangu imekubali lakini nikiifungua inaload vizuri hadi sehemu ya kucreate avatar inastuck then inatokea dialog box ya windows PES 2012 has stopped...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hallow wan JF, nina simu ya Ideos inatumia mtandao wa tigo tu. Nikiweka line nyingine inataka unlock code. Naombeni msaada wenu. Thnks for yo time
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu waungwana nina kasimu changu cha tigo wamenipa bure lakini wamekibana natumia laini moja tu nikijaribu kuweka laini ya airtel inasema network lock naitaji maujuzi hapa
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kwa takiwmu za traffic JF ndio tovutinumbermojakwa tanzania. Lakini lengo la mada hii ni tuambizane kwa kutumia viegezo na sababu zinagenine kitaaalamu nza kawaida -Ni tovuti na au blog gani...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau, hapa niliko napata internet kwa namna mbili: Kwanza, ni kupitia Airtel. Kwa line yao inasomeka kwamba napata EDGE lakini actual speed ni kama 15Kbps nikidownload Pili, ni kupitia Voda. Kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Anayefahamu website ninapoweza kupata vitabu free.Nahangaika sana napata books in review. Msaada jamani
0 Reactions
2 Replies
942 Views
Wakuu mwenye Anti virus naomba anisaidie maana ya kwangu ime expire na nilichogunduwa siku hizi kama hauna Licence ku update online ni mgogoro, au kwa yeyote mwenye mbadala, shida yangu ni Anti...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomba mwenye kujua dictionary software nzuri ya ENGLISH-ENGLISH anisaidie link au jina lake..Natumia Blackberry curve 8520. Mubarikiwe sana
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Katika hii picha inaonekana jinsi ilivyotuna kidogo hapo kati. Nahitaji kitu kama hiyo kwa ajili ya kutengeneza kitu katika muundo kama huo
0 Reactions
4 Replies
258 Views
natumia simu aina ya sony ericsson C902,imegoma gafla kupokea sms ila nikituma inaenda nina kama mwez na hili tatizo,nimefanya master reset bt where!mwenye kujua jins ya kutatua,maana mtu akituma...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Back
Top Bottom