Mafundi wa umeme naomba mwongozo wenu plz kadri ya uzoefu!

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wakuu samahanini naomba kujuzwa hivi kwa kawaida bei ya kufanya wiring kwa nyumba yenye vyumba tisa kikawaida huwa inaweza kuwa sh ngap? Msaada plz!
 
Unataka kufanyiwa na kampuni zenye wataalamu mahiri au mafundi wa mitaani (vishoka)? kama ni kampuni piga +255 715 865 544, yeccotltd@yahoo.com, au fika ofisi zao zilizopo mtaa wa samora, jengo la coronation ghorofa ya pili.

Kama ni mafundi mchundo (vishoka) subiri hapa hapa watakujibu tu mkuu.

USHAURI: Tumia makandarasi waliosajiliwa na Bodi ya usajiri wa Makandarasi kwa shughuli zako za ujenzi, kujiridhisha tembelea Contractors Registration Board(CRB)
 
Acha kuwafunika wenzako!
Wekeni mambo yenu wazi hapa; wengine hatuna muda wa kupiga simu mkuu...
 
Back
Top Bottom