Msaada internal memory ya simu yangu inapungua kila siku

danmarc

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
570
115
Naombeni msaada wenu mimi natumia samsung sgh-j700i simu ina internal memory ya mb 10 lakini sasa hivi zimepungua hadi mb 4. Sasa sijui tatizo nini ,nimejaribu restore factory settings bila mafanikio pia nikifungua memory status inaonyesha file la games limeoccupy 700 kb wakati games na apps zote nimezifuta.
 
Delete hilo file.... Au root simu yako ili uweze ku install apps kwenye SD card
 
message, contacts, emails pia ni part ya phone memory je una msg ngap? Mesage 2000 ndo kama 1mb
 
Back
Top Bottom