VODACOM yatoa of ya internet

VODACOM yatoa of ya internet

danmarc

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
575
Reaction score
146
Vodaco leo imetoa ofa ya ku2mia internet bure itakayoishia tar 10 september.kujipatia ofa hii piga *704#
 
weka maelezo vizuri ni bire na masaa 24?? elezea zaidi
 
Bapkis, kwanza hata # yenywewe haina service yoyote. IT'S UNKNOWN
 
napata
CONNECTION PROBLEM OR INVALID MMI CODE.
 
Acha kukurupuka mkuu, hiyo ofa sio kwa watu wote na ndiyo maana wenzio wakibofya namba hizo wanaambiwa Result Unknown.
 
siku nyingine nakuja kucheki hii avator tu baas then natoka dah....punguza mkuu

Haha maisha ya Bongo land haya ukiongeza na stress za Window7 ku crash every second hicho ndo kilichobakii, angalia screen yako isije vunjika maana hizi hasira ni za Mbogo ukichanganya na za Nyati😀
 
Haha maisha ya Bongo land haya ukiongeza na stress za Window7 ku crash every second hicho ndo kilichobakii, angalia screen yako isije vunjika maana hizi hasira ni za Mbogo ukichanganya na za Nyati😀

nisaidie key za IDM Mkuu
 
nisaidie key za IDM Mkuu

kamata hizi keys, SV8SX-FAFRT-0HZGT-6UG7S kwenye username weka jina lolote,password yoyote email yoyote na hata kama huna twende kazi weka hata ya kutunga,point to note wakati wa kuweka keys uwe offline na kila utakapokuwa inatoka version mpya kama utadownload weka keys hizo hizo, ikikataa uje unambie niwas2e mods wafute ID yangu(jus kidding)
Enjoy. Not kwenye keys pale ile ni ZERO sio herufi 'o'. Nawasilisha
 
Dah kwel wakubwa kumbe sio kwa line zote ila kuna line baadh ndo zimepewa ofa ya wiki nzima bureee without limitations
 
Mi nna sm 2 moja nafanyia mpesa nyingine ni yakawaida hyo free inter. nimepewa kwenye lain ya mpesa hii ya kawaida inakataa kabisa VODACOM KAZI NI KWAKO.
 
hamna hyo k2! Hyo kla mtu anapewa kwa code tofaut mm nmepewa kwa kupga *603# rafk angu amejarbu kwake imekataaa
 
mm ndio maana nawachukia Vodacom katika Internet hata katika B/B si wakweli kabisa
 
Back
Top Bottom