Yeyote mwenye password ya hii game! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yeyote mwenye password ya hii game!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mabugo, Sep 4, 2012.

 1. M

  Mabugo Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Tafadhari waungwana naombeni kwa yeyote mwenye password ya SCANIA TRUCK DRIVING SIMULATOR anisaidie!?Nimejaribu ku-google na hizi (AZMFX-32YQK-56TAD-EUA9R-Z31Z0) nilizopata hazikunisaidia. Nimedownload hii game hivi majuzi lakini inakataa kufunguka!
   
 2. 1px

  1px Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni torrent? umesoma nfo file?
   
 3. M

  Mabugo Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Ndiyo ni torrent. Iko kwenye format ya ISO
   
 4. 1px

  1px Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haya, weka link ya download site....
   
 5. M

  Mabugo Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  So, is this going to help!
  OK! nimeidowload kutoka 'www.torrentbit.net'
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
 7. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Password ni ccm1chadema0
   
 8. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  kwa nini usidownload american 18 wheel of steel ambayo zinafanana kwa kila kila na hiyo ya scania na ni free? mimi nilikuwa nazo zote mbili but hiyo ya scania niliitoa maana ilikuwa inazingua...ishu hiyohiyo ya password...but 18 wheel of steel ni mwisho wa matatizo kwa trucking games...
   
 9. M

  Mabugo Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  OK! Hatahivyo ni kwamba hawa jamaa wameweka links unapoweza kupata hiyo password ila unakuta nchi yako haina offer.
  Links zenyewe ni: Link 1 : FileIce LLC
  Link 2 : ShareCash - Password for TALTrDriS 2012.txt
  Link 3 : Download file Password_for_TALTrDriS_2012.txt

  Ninafilia kutumia ile software ya Hide My IP ili nione kama ukiingia kwenye hizo websites kutokea nje ya nchi hii labda wanaweza kuku-grant hiyo offer.
  So, hiyo American 18 wheel of steel ni nzuri, basi ngoja nijipange upya manake hiyo ya Scania Truck Driving Simulator imenifilisi ndo maana sikutaka ku-give up mapema kabla ya ku-exploit means zote
   
 10. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  unachosema ni sahihi mkuu na mimi nilikwamia hapohapo kwenye hizo links...mi nakushauri kama na wewe ni "mlevi" wa game za trucks kama mimi hii 18 wheels ipo poa sana na kwenye torrents zimejaa kibao zikiwa na crack zake...
  hizi hapa chini ni baadhi ya screenshot ya game nilizowahi save kwenye hii 18 wheel of steel..
   

  Attached Files:

 11. M

  Mabugo Member

  #11
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Nashukuru sana kakan'gu. Ndo nimemaliza kui-download. Nimei-extract na kupata image yake. Sinashaka itakuwa nzuri
   
 12. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  ni nzuri sana mkuu...ukitaka na mods zake za kuongezea baadhi ya magari kama ya scania na benz nawea kukupa au hata ukisearch online zipo kibao pia free...
   
Loading...