host to web server connection

junior05

Senior Member
May 3, 2011
186
46
Wanajamii,leo tunaangalia kwa kifupi,process muhimu zinazowezesha PC or any device to access webpages
Mawasiliano ya internet yanatumia ip address,hivo kila websites inakuwa na ip address yake
Na hata computer yako ili ishiriki kwenye internet lazima iwe na ip adress
Mchakato wa computer kubrowse pages upo hivi:
Tuchukulie mfano unaingia website ya jamiiforums.com
1.Computer(device) yako kwenye browser unaandika jamiiforums.com
2.Computer inacheck local host kama jamiiforums iko assign na ip address
3.Kama localhost imeshindwa kutafsiri,PC itatumia local dns(server inayotafsiri majina na ip husika)na mara nyingi server hizi hukaa kwa ISP wako
3.Server itafananisha jamiiforums.com=ip address waliyopewa,baada ya kupata ip,DNS itarudisha ip kwenye PC yako
4.Hapo ndo PC kwa kutumia majibu ya DNS itachukua hyo ip na kuwasiliana na jamiiforums web servers
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom