G M S JF-Expert Member Mar 30, 2011 502 53 Sep 5, 2012 #1 Mfano ni hii nyumba yenye vyumba tisa mafundi huwa wanahitaji kiasi gani kwajili ya wiring nje ya vifaa? Msaada plz!
Mfano ni hii nyumba yenye vyumba tisa mafundi huwa wanahitaji kiasi gani kwajili ya wiring nje ya vifaa? Msaada plz!
twatwatwa JF-Expert Member Sep 19, 2011 2,067 419 Sep 5, 2012 #2 Kila chumba ni elfu 25. Pia inategemea na mazingira yenyewe mkuu